İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
karibeani: kwa heri, arrow
caribbean: farewell, arrow · global voices
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
karibeani: radi ya bolt yaipiga beijing
caribbean: lightning bolt strikes beijing · global voices
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
karibeani ya kifaransa: tamasha la kanivali 2009 lazinduliwa
french caribbean: carnival 2009 is launched · global voices
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
hivi sasa inaonekana kuwa karibeani ndiyo inayotawala mashindano ya mbio!
right now it looks like the caribbean has a monopoly on track and field!
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
jengo la karibeani lilianza kucheza na katika muda wa sekunde tatu tu likaporomoka lote.
the karibean building started to dance and in 3 seconds' time completely tumbled down.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
"hivi nimeshakueleza kuwa watu wawili kutoka karibeani ndiyo wana kasi kuliko wote duniani?"
"did i tell you that two men from the caribbean are the fastest men in the world?"
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
mrindimo wake ulikuwa mzito na ulinikumbusha karibeani iliyotawaliwa na wafaransa pamoja na ile iliyotawaliwa na wahispania.
the beat was hard and it reminded me of the french caribbean and the spanish caribbean all at once.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kanivali ni utamaduni, sehemu ya uhai wa kila muhindi wa magharibi na bila kuwaacha wale wa karibeani ya kifaransa.
carnival is a tradition, a part of every west indian soul and the french caribbean is no exception.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
habari njema zimeenea kuanzia uchina mpaka karibeani, kutokea fukwe za visiwa mpaka ughaibuni na kila mahala.
the good news spread from china to the caribbean, from island shores to diaspora scattered far and wide.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
jina la wimbo wa santuri hiyo ukawa ndio kibao chake kikali cha kwanza cha ki-karibeani na kibao cha soca kilichouzwa zaidi ya vyote.
the title track became his first pan-caribbean hit and the biggest selling soca hit of all time.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
arrow aliendelea kuwa mwanamuziki anayetafutwa sana huko karibeani na hivi karibuni kabisa alitumbuiza katika ufunguzi wa kombe la dunia la mchezo wa kriketi la mwaka 2007 pamoja na shaggy, byron lee na kevin lyttle.
arrow continued to be much in demand in the caribbean and most recently performed at the cricket world cup 2007 opening ceremonies with shaggy, byron lee and kevin lyttle.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kuelekea saa 10:45 mchana, tukiwa na dereva wetu, tunaenda kuegesha gari katika eneo la karibeani, soko kubwa la pétion-ville.
towards 4:45 pm, with our driver, we enter the parking lot of karibean, pétion-ville's big mart.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
shamra shamra hizi za noeli, ambazo historia na chimbuko lake bado ni utata mkubwa (kama tu ilivyo kwa ukristo), kwa karne nyingi, zimekuwa ni sehemu ya utamaduni wa watu wa amerika wenye asili ya karibeani na walatini.
this christmas celebration, whose historic and religious background is quite complex (much like christianity itself), has been a part of the caribbean and latin american cultural traditions for numerous centuries.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: