Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
maana ya kitivo
the meaning of kitivo
Son Güncelleme: 2021-01-01
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
nini maana ya kitivo
what it means to faculty
Son Güncelleme: 2016-02-22
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
nini maana ya ya kitivo
nini maana ya kitivo
Son Güncelleme: 2020-02-02
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Ulaya imekuwa ndio kitivo kipya cha janga hili.
Europe is the new epicenter of the pandemic.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Zelalem alikuwa mhitimu katika Kitivo cha Sheria katika Chuo Kikuu cha Addis Ababa na pia alikuwa akifundisha masual ya sheria katika Chuo Kikuu cha Ambo.
Zelalem was a graduate student at the School of Law of Addis Ababa University, and also taught law at Ambo University.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Mbaya zaidi, paa la jengo kuu la kitivo hicho bado halijaondolewa, na ni tishio kwa kliniki ya uzazi inaendelea na shughuli zake pembeni mwake pamoja na wakazi wengine jirani.
Worse, the asbestos roofing in the old SHS building has not yet been removed, posing a threat to the maternity clinic beside it and other residents.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Katika agenda za mkutano, kadhalika, kutakuwa na mada kuhusu vyombo mbadala vya habari na ulinzi wa data binafsi itakayotolewa na Chawki Gaddas kutoka Kitivo cha Sheria, Sayansi ya Siasa na Jamii cha Tunis.
In the meetup agenda also, a panel on the subject of alternative media in Tunisia and a keynote speech on personal data protection by Chawki Gaddas from the Faculty of Judicial, Political and Social Sciences of Tunis.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Cheti chenyewe kinatia mashaka makubwa na kinadhaniwa kuwa ni cha kughushi, tena kimejaa makosa ya kiuandishi na wakati huo huo majina yanayoonekana kwenye saini wala si ya yeyote miongoni mwa wanaofundisha katika Kitivo cha Sheria cha chuo hicho!
A degree so suspicious that is feared to be faked, with grammar mistakes and with names signing it who are not even members of the Faculty of Law!
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Hadi kati ya Machi 2020, Ulaya imekuwa kitivo cha janga hili, na nchini nyingi za Ulaya zimefunga mipaka yao kwa usafiri wa kimataifa - wasafiri wa mipaka na wasafirisha mizigo pekee ndio wameruhusiwa kuvuka.
As of mid-March 2020, Europe is the epicenter of the epidemic, and many European countries have closed their borders to international travel - only border commuters and freight are allowed to cross.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Wanafunzi waliosajiliwa katika mipango ya masomo ya juu katika vyuo, vyuo vikuu na vyuo vya jumuiya mara nyingi hurejelewa kuwa "wanafunzi wa vyuo" katika mataifa kama vile Marekani. Kufungwa kwa vyuo, vyuo vikuu kumesababisha athari kubwa kwa wanafunzi, kitivo, wasimamizi na taasisi zenyewe.
Students enrolled in higher education programmes at colleges, universities, and community colleges are often refereed to in countries such as United States as "college students."The closure of colleges and universities has widespread implications for students, faculty, administrators, and the institutions themselves.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
Mwanasheria anayeheshimika na mhadhiri kwenye Chuo Kikuu cha Ghana, Kitivo cha Sheria, Dr. Raymond Atuguba ameonyesha kwa umakini jinsi wanamgambo wa eneno la Delta ya Naija, wanaojulikana kwa ukorofi wa kulipua mabomba ya mafuta, kuteka watu nyara na kudai dhamana kubwa na kusababisha vurugu kwenye eneo lenye utajiri wa mafuta nchini Naijeria wameanza kuingia Ghana kwa makundi.
A respected legal practitioner and lecturer at the University of Ghana, Law Faculty, Dr. Raymond Atuguba has chillingly revealed that militants in the Niger Delta region, notorious for blowing up oil pipes, kidnapping and demanding huge ransoms and causing unrest in the oil rich Nigerian region have started tripping to Ghana in droves.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Katika makala iliyotumwa na Ghana Pundit yenye kichwa kinachosema, “Msiongeze Muda Wa Rais Madarakani,” Prof. Kofi Quashigah, Mkuu wa Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu Cha Ghana, anasema:
In an article posted by Ghana Pundit entitled, “Don’t Extend President’s Tenure, ” Prof. Kofi Quashigah, Dean of the law faculty at the University of Ghana, remarked:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans: