İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
pengine mngependekeza kujadidisha ndoa kila siku ili kwamba mfuatilie hali ya ndoa yao.
maybe you should propose daily renewal so that you can check their marriage status.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kwa kweli, wana utashi huru wa ama kujadidisha mkataba wao wa ndoa au kuitupa hiyo karatasi baada ya miaka 10.
in fact, they have the free will to either renew their marriage contracts or just junk the paper after 10 years.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kwa njia hiyo, watu hao wawili wataepuka kupitia adha ya kujadidisha au kutojadidisha leseni yao ya ndoa inayokwisha muda wake na kuokoa fedha ambazo huandaa shughuli aghali ya harusi.
that way, both persons will be spared from having to go through renewing or not renewing the expirable marriage license and save them money from holding the costly marriage ceremony.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: