Şunu aradınız:: kujichanganya (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

kujichanganya

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

wengi waliona kama ni kujichanganya mwenyewe:

İngilizce

many saw it as a back down:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

huku ni kujichanganya hasa kuhusu kile ambacho sata amekuwa akikisema kuhusu uraia wa nchi mbili.

İngilizce

this is a contractiction to what sata has been saying about dual citizenship.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

ni njia ya makundi hayo mawili (walimu na wanafunzi) kujichanganya wakati wa mapumziko.

İngilizce

it is a way for both parties to mingle during recess.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kama unakuja huku hauko tayari kujiweka katika hatari na kujichanganya katika kusafisha vidonda vya kutisha basi kutazidisha tu machungu kwa watu ambao tayari wana uchungu mkali.

İngilizce

coming down if you are not willing to risk and get in and clean out horrific wounds would just tax an already taxed place.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

wanaharakati wa kimexico mwaka 2014 wamekuwa na dozi ya kutosha ya ucheshi kutoka wachekeshaji wanaotumia vipaji vyao, umakini na kujichanganya kwao na jamii kuleta manufaa kwa jamii.

İngilizce

mexican activism in 2014 has had a good dose of humor by comedians that have used their talents, keenness and social engagement to impact society.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

huwa ninajiuliza kuhusu mtu ambaye katokea louisiana, mwenye historia ndefu ya kujichanganya na watu wa rangi tofauti, kwa kupitia mfumo wa utamaduni wa ukazi kati ya watu weupe na wanawake weusi (placage) kadhalika na utamaduni mchanganyiko wa jamii ya kispania na kifaransa nma weusi (creole), sasa hivi ghafla tu anaonekana kujali sana watoto.

İngilizce

i always wonder about a man who comes from louisiana, who has a strong history of race mixing, through the system of placage as well as creole culture, is now all the sudden concerned about the children.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
7,762,658,332 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam