İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
na magazeti na idhaa za habari ni lazima viuze nafasi za matangazo na muda wa kurusha matangazo hewani ili kutengeneza fedha, na kwa kadiri habari inavyokuwa inatishia na kuogopesha ndivyo wanavyopata watazamaji na wasomaji wengi zaidi, ambavyo huongeza watangaza biashara, na faida zaidi.
and newspapers and news channels have to sell advertising space and airtime to make money, and the more shocking and scary their stories, the more viewers and readers they have, which leads to more advertisers, and more profits.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
baada ya muda kidogo, tulisikia mtu akitembea na ndipo sote tulikusanyika na kuchungulia kupitia kwenye kauwazi kadogo ili kujua kilichokuwa kikiendelea, nilipomuona mahlet akipelekwa kwenye sero nyingine…. katika hali ile, nilipata hisia kali ya kuogopesha kuhusu familia yangu kwani lazima walikuwa kwenye dibwi la hofu ya wapi nilikuwa, hapa nilijikuta nikitokwa na machozi.
after a while i heard footsteps we all swarmed to have a look through a peephole to see what is going on then i have seen mahlet being escorted to other cell….at that moment i felt a reflexive horror for my family since they would extremely be worried about my whereabouts and i felt my tears wetting my cheek.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: