Şunu aradınız:: kwamba ilikuwa joke (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

kwamba ilikuwa joke

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

kwamba ilikuwa kama bahati nasibu tu.

İngilizce

it was just a lottery.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hata pale tulioshinda afcon 2012, walilalamika kwamba ilikuwa kwa njia ya penati.

İngilizce

even when we won the afcon 2012.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

(walikuwa bado hawajaelewa maandiko matakatifu yaliyosema kwamba ilikuwa lazima afufuke kutoka wafu).

İngilizce

for as yet they knew not the scripture, that he must rise again from the dead.

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

lakini ndivyo mungu alivyotimiza yale aliyotangaza zamani kwa njia ya manabii wote, kwamba ilikuwa lazima kristo wake ateseke.

İngilizce

but those things, which god before had shewed by the mouth of all his prophets, that christ should suffer, he hath so fulfilled.

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

muda halisi unaonyesha kwamba ilikuwa ni baada ya polisi na vikosi maalumu vya kutuliza ghasia vilipoanza kupambana na waandamanaji karibu na jengo la bunge.

İngilizce

the time stamps indicate that it was after the police and special forces started cracking down on protesters near the parliament.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

huyo baba akakumbuka kwamba ilikuwa ni saa ileile ambapo yesu alimwambia: "mwanao yu mzima." basi, yeye akaamini pamoja na jamaa yake yote.

İngilizce

so the father knew that it was at the same hour, in the which jesus said unto him, thy son liveth: and himself believed, and his whole house.

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

vuguvugu hili lilianza mnamo mwezi septemba, 2006, wakati ambapo kikundi cha wanablogu kiliamua kwamba ilikuwa imefika wakati kwa wao kuzungumza na kushirikisha hisia na uzoefu wao, na yale yanayogusa wanawake wengine, hasa chini ya mfumo usio na haki.

İngilizce

the story starts in september, 2006, when a group of bloggers decided the time has come for them to speak up and share their own stories and experiences, as well of those of other women, with injustice.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

“baada ya siku chache wakati watoa maoni wakisitasita kutoa maelezo yanayoshindana, vyombo vya habari vinaanza kujikita katika maelezo kwamba ilikuwa ni unyanyasaji wa kirangi/kiasili/kidini ndiko kulikomsukuma nidal kupata ukichaa.

İngilizce

"after a few days while the commentariat hesitated before competing narratives, the media are settling on the explanation that it was ethnic/racial/religious abuse that drove nidal crazy.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

kwanza kabisa huwa hatuna aina hii ya ushindanishaji nchini misri mara kwa mara, pili huna budi kutambua kwamba jambo hili liliendeshwa kwenye blogu ya nchini misri, washiriki wanaweza kusemwa kwamba ilikuwa ni sampuli ndogo sana katika jamii ya wa-misri "zaidi ya washiriki 120 kwenye blogu yake na zaidi ya washiriki 300 kwenye tukio katika face book" na kwa hiyo baadhi ya watu huenda watasema kwamba sampuli haikuwa wakilishi vya kutosha, hata hivyo, kwa namna ya kushangaza kabisa, baadhi ya majibu yanawakilisha maoni ya wa-misri walio wengi.

İngilizce

zeinobia shared the top 10 most influential people in egypt according to shokeir's survey: first of all we do not have these kinds of lists in egypt regularly , second you must know that this was held on an egyptian blog , the participants are considered a very small sample from the egyptian society “more than 120 participants on his blog and more than 300 participants in the event on the face book” and some may considered it as unrepresentative sample still most of the answers surprisingly represent the views of most egyptian people as i see it.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Daha iyi çeviri için
7,772,723,614 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam