Şunu aradınız:: mikoa (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

mikoa

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

tawala za mikoa na serikali za mitaa

İngilizce

regional administrations and local governments

Son Güncelleme: 2021-06-17
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kwa sasa, janga hili lilienea haraka katika miji, mikoa na nchi jirani.

İngilizce

meanwhile, the epidemic rapidly spread to the neighboring cities, provinces, and countries.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

utii kwa wakuu wa mikoa ambao wameteuliwa naye kuwaadhibu wahalifu na kuwasifu watendao mema.

İngilizce

or unto governors, as unto them that are sent by him for the punishment of evildoers, and for the praise of them that do well.

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

mkoa wa osh ni moja kati ya mikoa ambayo bado haiko chini ya upande wa upinzani mpaka sasa.

İngilizce

the osh region is among those that aren't controlled by the opposition so far.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kuwezesha mazingira wezeshivya upatikanaji wa mikopovyenye masharti nafuu kwa wanawake wajasiriamali 3035 katika mikoa yote 26 chini6

İngilizce

strengthen services and protect rights for specific groups including young women and persons with disabilities

Son Güncelleme: 2023-03-13
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

mikoa ya leyte na samar ni miongoni mwa maeneo mengi iliyoathirika vibaya na vijiji vingi kuharibika na kubaki nyika.

İngilizce

the provinces of leyte and samar are among the most badly-hit areas with many villages reduced into wasteland.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kuna ripoti ya maandamano katika vyuo vikuu vingine katika mikoa na wale ambao waliamua kujiunga na maandamano wamekosolewa kwa ukali.

İngilizce

there are reports of protests in other universities in provinces and those that have decided not to join the protests are harshly criticized.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

ni nusu tu ya vituo vya afya katika mikoa iliyoathirika na kimbunga zimerudisha tena shughuli za kawaida hali ambayo imedhoofisha afya ya akina mama na watoto wanaozaliwa.

İngilizce

only half of health clinics in the typhoon-damaged provinces have resumed operations which undermined the health of mothers and newborns.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kwa mujibu wa maoni ya mtandaoni, maendeleo haya huenda yakazisukuma serikali za mikoa mingine nazo kutoa taarifa kamili za mapato yao na kuongeza uwazi.

İngilizce

according to online opinion, such developments may pressure other townships or higher levels of government to issue expenditure statements and increase transparency.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

maandamano ya machi 12 mjini bangkok na katika mikoa ya vijijini iliyo kaskazini yaliweka alama ya kuanza kwa mfululizo wa maandamano ya upinzani ambayo yamepangwa kutokea wikiendi hii.

İngilizce

the march 12 rallies in bangkok and in the rural north marked the beginning of a series of protests that are scheduled to take place this weekend.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

wakuu wa mikoa walikamatwa na waandamanaji, huku jeshi na polisi wakiamua kuunga mkono upande wa upinzani na kumwacha rais kurmanbek bakiev akiwa karibu hana uungaji mkono kabisa.

İngilizce

regional administrators were seized by protesters, and the army and police switched sides to the opposition, leaving president kurmanbek bakiev with almost no support.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

katika mikoa 24 ya 31 ya uchina, munispaa na maeneo, mamlaka ziliongeza likizo ya mwaka mpya hadi 10 februari, na kuagiza sehemu za kazi nyingi wasifungue hadi siku hiyo.

İngilizce

in 24 of china's 31 provinces, municipalities and regions, authorities extended the new year's holiday to 10 february, instructing most workplaces not to re-open until that date.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

dhoruba kubwa ya kitropiki ya maring ilisababisha mafuriko makubwa kuwahi kutokea katika metro manila na mikoa ya jirani nchini ufilipino ambayo ilisababisha vifo vya watu 8, majeruhi 41, na 4 wakiwa hawajulikani walipo.

İngilizce

tropical storm maring (international name trami) caused record high floods in metro manila and nearby provinces in the philippines which left 8 people dead, 41 injured, and 4 missing.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

katika maeneo mengi ya kurdistan, kumekuwa na maandamano ya mshikamano lakini licha ya tahadhari zilizotolewa mgomo wa kutokula umepenya katika mikoa ya kikurdi, na kwa kweli kuna vyombo vya habari vikuu vichache vinavyoripoti kuhusu mgomo huo wa kutokula.

İngilizce

in much of kurdistan, there has been solidarity protests but despite the attention the hunger strikes have received within kurdish regions, there are few mainstream media outlets reporting on the hunger strike.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

makundi mawili ya vijana kaskazini mwa nigeria jumatano yalimkosoa rais wa seneti, david mark, kutokana na matamshi aliyotoa siku za karibuni akiwataka viongozi wa mikoa ya kaskazini kudhibiti shughuli za kundi linaloogopwa sana la boko haram, connected africa anaripoti.

İngilizce

two northern youth groups on wednesday criticized the senate president, david mark over his recent comments urging northern leaders to check the activities of the dreaded boko haram sect, connected africa reports.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kama lengo ni misaada ya kibinadamu, basin a majimbo na mikoa mingine inapaswa pia ipewe misaada kama tu jinsi nchi nyingine (mfano. japani, amerika) wanavyofanya.

İngilizce

if the intent is for humanitarian reason, other states and regions in myanmar should be given assistance as well just like what other countries (e.g. japan, us) are doing.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

mashirika manne yaliyolengwa ni wanachama wa baraza la haki za binadamu la voronezh : ni vuguvugu la haki za binadmau linaloendeshwa na vijana, kikundi cha haki za binadamu kinachounganisha mikoa kadhaa, mfuko wa ecosocis, kituo cha kukuza mashirika yanayoanzishwa a umma.

İngilizce

the four organizations being targeted are all members of the human rights house of voronezh : they are the youth human rights movement, the inter-regional human rights group, the ecosocis fund, and the center for the development of public initiatives.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Daha iyi çeviri için
7,763,171,218 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam