İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
kitu cha moto na cha kuchekesha
awww mimi pia,,,, uko poa lakini?
Son Güncelleme: 2020-04-09
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
kuna kitu cha kushangaza kuhusu hilo.
there is something ironic about that.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
hakika umeleta kitu cha ajabu!
indeed you have brought a thing fariya (an unheard mighty thing).
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
ni lazima kiwepo kitu cha kulalamikia.
of course, there has to be something to moan about though.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
hatimaye nimepata kitu cha kuvutia kusoma.
finally something interesting to read.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
akasema: je! ijapo kuwa nitakuletea kitu cha kubainisha wazi?
'what, even if i brought you something clear' said he (moses).
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
kitu cha kwanza kinachoingia akilini ni wimbo ambao anc inafanya juu chini usipigwe marufuku.
the first thing that comes to mind is the song the anc is so desperate wants to get unbanned.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
ubakaji ni kitendo cha aibu, kinaudhi na kiovu mno kw amtu kukifanya. kuwa mtetezi wa wabakaji ni kitu cha ajabu
rape is the most despicable, disgusting and vile thing a person can do.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
katika wakati ambao demokrasia ya ghana ipo katika uchanga wake, kitu cha mwisho tunachohitaji ni mtu kushabikia ghasia za siasa.
at a time when ghana's democracy is in its infancy, the last thing we need is someone encouraging political violence.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
kitu cha pekee katika shauri hili ni kwamba zaid anajulikana kwa kuwaunga mkono wanablogu wa kimalaysia ambao wameshtakiwa na watu wenye nguvu na mashirika.
what is peculiar in this case is that zaid is known for supporting malaysian bloggers who have been sued by powerful individuals and corporations.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
kikiwapo kitu cha uzito wa chembe ya khardali kikawa ndani ya jabali au ndani ya mbingu au ndani ya ardhi, basi mwenyezi mungu atakileta.
even if it should be the weight of a mustard seed, and [even though] it should be in a rock, or in the heavens, or in the earth, allah will produce it.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
kuna wengine ambao hawana vipaji, hawaguswi na busara zilizo wazi, ambao hawana huruma kiasi kwamba wanaifanya ofisi ya rais kuwa ni kitu cha mzaha.
there are some who are so talentless, so impervious to common sense, so lacking in simple compassion that they make a mockery of the office.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
ewe mwanangu! kikiwapo kitu cha uzito wa chembe ya khardali kikawa ndani ya jabali au ndani ya mbingu au ndani ya ardhi, basi mwenyezi mungu atakileta.
"my son, god keeps the records of all the good and evil deeds, even if they are as small as a grain of mustard seed, hidden in a rock or in the heavens or the earth.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
mmoja wao alichukua sekunde chache kuingia bila ya matatizo yoyote; mwingine hakuweza kuingia, alizuiwa na mlango unaozunguka, ambao ni kitu cha kawaida katika mabenki mengi nchini brazil.
one of them took a few seconds to get in with no issues at all; the other one could not get in, barred at the revolving door, a regular feature in many brazilian banks.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
dah hili balaa aiseeh! corona has ruined the world, kiukweli kuna kitu cha kujifunza kutokana na kifo hiki. tahadhari ziendelee kuchukuliwa, hii corona itasumbua sana!
dah this is overwhelming aiseeh! corona has ruined the world, there is certainly something to learn from this death. caution keep taking, this corona will be very stressful!
Son Güncelleme: 2020-04-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
tuko tayari kukubali kutukanwa na kufanyiwa dhihaka kama sehemu ya maisha, tumefanya kutokuwa na usalama kuwa kitu cha kawaida, tumeridhika na ufukara, tumekubali kuishi kwa furaha kama tulivyofanya katika miaka ya hivi karibuni: tukichukiana.
we are willing to accept abuse and trampling as a way of life, we have made insecurity something natural, we have settled for misery, we have accepted gladly to live as we have done in recent years: hating each other.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
hivyo iko hatari kwamba biashara yetu itakuwa na jina baya. si hivyo tu, bali pia jambo hilo linaweza kuifanya nyumba ya mungu artemi kuwa si kitu cha maana. hatimaye sifa zake huyo ambaye asia na dunia yote inamwabudu, zitakwisha."
so that not only this our craft is in danger to be set at nought; but also that the temple of the great goddess diana should be despised, and her magnificence should be destroyed, whom all asia and the world worshippeth.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor