İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
sababu ya pili ni muitikio wa idadi kubwa ya watu wanaounga mkono shahbag.
the second reason is the reaction to the shahbag mass-uprising.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
muitikio ulikuwa wa kiwango kisichoelezeka– uliopelekea ulimwengu wote kutupia macho matukio ya kikatili wanayoyapitia watoto nchini syria.
the response was phenomenal – resulting in worldwide attention to the atrocities that children are living through in syria.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
tangu kutokea kwa tukio hilo, kumekuwa na ongezeko kubwa la umakini wa usalama wa wafanyakazi pamoja na kutokuwa na muitikio usioridhisha itokeapo dharura katika viwanda.
since that incident, there has been increasing concern about workers safety and inadequate emergency response systems in the industry.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kongamano la sauti za dunia linalofanyika kila baada ya miaka miwili lililofanyika mwaka huu jijini nairobi nchini kenya, lilikuwa ni tukio lililokuwa na muitikio mkubwa na morali ya hali ya juu kiasi cha kushindwa kufananishwa na tukio jingine na lililotusaidia kuweka mikakati ijayo ya mtandao wa sauti za dunia.
gv’s biannual summit, held this year in nairobi, kenya was an event of unparalleled participation and energy, and helped us to set the course for gv’s future.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: