Şunu aradınız:: muuaji (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

muuaji

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

salamu za rambirambi zinaashiria kwamba alikuwa shujaa kwa baadhi ya watu kadhalika alichukuliwa kama muuaji katili kwa wengine.

İngilizce

obituaries of prabhakaran note that he was a hero to some and a ruthless killer to others.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

alikuwa mtakatifu na mwema; lakini ninyi mlimkataa, mkataka mtu mwingine aliyekuwa muuaji afunguliwe.

İngilizce

but ye denied the holy one and the just, and desired a murderer to be granted unto you;

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

asiwepo mtu yeyote miongoni mwenu ambaye anapaswa kuteseka kwa sababu ni muuaji, mwizi, mhalifu au mwovu.

İngilizce

but let none of you suffer as a murderer, or as a thief, or as an evildoer, or as a busybody in other men's matters.

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kwa hivyo basi, ni leo hii marwa na mwanawe ambaye alikuwa hajazaliwa wanaweza kupumzika kwa amani baada ya malipo kwa muuaji.

İngilizce

for that matter, only today marwa and her unborn baby can rest in peace after compensating from the killer.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

aam mina kwa upande mwingine aliandika makala, ya kuwakebehi wale wanaoamini katika nadharia za njama na waliokuwa wakitarajia wajerumani kufanya uamuzi utakaompendelea muuaji:

İngilizce

aam mina on the other hand wrote a post, making fun of those who believe in conspiracy theories and were expecting the germans to rule in favour of the murderer: i don't know why, since the announcement of the verdict, i haven't heard any of those who kept on talking about the germans and how racist they are, and that they hate arabs and muslims. they also claimed that the court will rule in favour of the murderer and he will be imprisoned for a year or two only, and that our only hope is to declare sacred war against the secular, rotten, zionist, and infidel west.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

#dershowitz nitakubaliana kabisa na wewe kuwa afrika kusini ni nchi iliyokwama na isiyoongwa kwa sheria, wahalifu wanatembea kifua mbele na hata oscar hatakwenda jela ingawa tunajua ni muuaji

İngilizce

#dershowitz i torally agree with u sa is a failed and lawless country, criminals walk free even oscar wont go to jail though his a killer — thabang gold (@thabangmc) march 5, 2014

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

serikali ilidai kuwa, muuaji alikuwa ni binamu wa wasichana hao ajulikanaye kwa jina la stepbrother khutore ambaye alionekana kukerwa na video ile na hivyo kuwaomba rafiki zake wanne, kwa maoni yake, arudishe heshima ya familia yake.

İngilizce

authorities allege that the killer was the girls' stepbrother khutore who was enraged at watching this video and enlisted the help of four of his friends to restore, in his view, his family's honor.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hakimu alikuwa anazitambua mbinu kadhaa za timu ya utetezi ya muuaji na hapa ninanukuu maneno kwa mujibu wa makala hii: “aliua… si kutokana na hofu bali kutokana na kisasi.

İngilizce

the judge was aware about various tricks from the killer's defence team and here i quote the words according to this article: “ he killed ... not out of fear but out of revenge.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kada wa chama cha united national party ajith p. perera ameandika salamu za rambirambi kwa prabhakaran katika blogu yake, akitaka kuwa tofauti na wengine: “alikuwa muuaji, bila ya shaka, lakini prabhakaran anastahili salamu za rambirambi, hata kama ni katika lugha ambayo alikuwa haielewi,”

İngilizce

united national party organizer ajith p. perera wrote in his own obituary for prabhakaran in his blog, dare to be different: "he was a terrorist, no doubt, but prabhakaran deserves an obituary, even in a language he barely understood," perera wrote.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Daha iyi çeviri için
7,763,730,328 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam