Google'a Sor

Şunu aradınız:: nambari ya pasi sio halali (Svahili - İngilizce)

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

nambari ya kodi

İngilizce

Invalid tax identification number

Son Güncelleme: 2018-10-09
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

nambari ya akaunti ya benki

İngilizce

bank account number

Son Güncelleme: 2015-09-08
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

Katika muda wa mwezi moja, nambari ya visa vya virusi vya korona Hubei ziliongezeka polepole.

İngilizce

Within a month, the number of coronavirus cases in Hubei gradually increased.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

Mnamo 23 Machi, iliripotiwa kuwa Korea Kusini ilikuwa na nambari ya visa chache kwa siku katika wiki nne.

İngilizce

On 23 March, it was reported that South Korea had the lowest one-day case total in four weeks.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

Ubunifu huu unahusisha kuweka maandiko yanayokwaruzika katika dawa, maandiko haya yana nambari ya utambuzi, ambayo mtu anatuma kwa kupitia huduma ya ujumbe mfupi ili kuhakikisha kuwa dawa hiyo ni halali.

İngilizce

In simplified terms, the idea is to place a scratch-off label on the products; the label contains a unique code, which the consumer sends via SMS and then receives a reply as to whether the product is authentic or not.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

Uchunguzi wa takwimu iliyochapishwa 30 Machi ilikadiria kuwa nambari ya maambukizi Italia zilikuwa zaidi sana kuliko visa vilivyoripotiwa.

İngilizce

A statistical analysis published 30 March estimated that numbers of infections in Italy were considerably greater than the reported cases.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

Kufikia 26 Machi 2020 nambari ya jumla ya vipimo vilivyotekelezwa Ujerumani haikujulikana, kwa sababu matokeo ya walioathiriwa pekee ndiyo iliripotiwa.

İngilizce

As of 26 March 2020 the total number of tests performed in Germany was unknown, because only positive results are reported.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

Mnamo 15 Machi, serikali ya Irani ilitangaza vifo 100 katika siku moja, nambari ya juu zaidi iliyorekodiwa nchini tangu mkurupuko ulianza.

İngilizce

On 15 March, the Iranian government reported 100 deaths in a single day, the most recorded in the country since the outbreak began.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

Masoko duniani zilipungua biashara tarehe 24 Februari kwa sababu ya kuongezeka sana kwa nambari ya visa vya COVID-19 nje ya Uchina bara.

İngilizce

Global stock markets fell on 24 February due to a significant rise in the number of COVID-19 cases outside mainland China.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

Data ya kiasi fulani tu kutoka Italia ilipata kuwa nambari ya vifo ya ziada katika janga kubwa ilizidisha takwimu rasmi ya vifo vya COVID kwa kipengele cha 4-5x.

İngilizce

Partial data from Italy found that the number of excess deaths during the pandemic exceeded the official COVID death tally by a factor of 4-5x.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

Kufungwa kwa shule katika mji wa Oita, Japan zilipatikana kufanikiwa kupunguza nambari ya wanafunzi walioambukizwa katika kilele cha maambukizi; hata hivyo kufungwa kwa shule ilipatikana kupunguza pakubwa nambari ya jumla ya wanafunzi walioambukizwa.

İngilizce

School closures in the city of Oita, Japan, were found to have successfully decreased the number of infected students at the peak of infection; however closing schools was not found to have significantly decreased the total number of infected students.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

Changanya mbinu zifaazo na dhibiti nambari ya programu na jukwaa tofauti: Changanya vifaa au midia zinazopatikana kwa wanafunzi wengi, kwa mawasiliano sawa na mafunzo, na kwa mafunzo inayotofautiana.

İngilizce

Blend appropriate approaches and limit the number of applications and platforms: Blend tools or media that are available for most students, both for synchronous communication and lessons, and for asynchronous learning.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

Baada ya pasi ndefu iliyounganishwa na kiungo Kavumbangu aliyemzunguka mlinzi wa Simba kabla ya kumtengenezea Kiiza, aliyeukata mpira huo na kufunga goli lake la pili kwenye mchezo huo.

İngilizce

After an errant pass was intercepted, midfielder Didier Kavumbangu dribbled past a Simba defender before setting up Kiiza, who slotted in his second goal of the game.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

Walisema kuwa wakati walimu huko Israeli walikuwa na mgomo wakati wa msimu wa homa ya mafua ya 1999-2000, kutembelea madaktari na nambari ya maambukizi ya kupumua ilipunguka kwa zaidi ya humusi na zaidi ya humusi mbili mtawalia.

İngilizce

They noted that when teachers in Israel went on strike during the flu season of 1999–2000, visits to doctors and the number of respiratory infections dropped by more than a fifth and more than two fifths respectively.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

Kufikia 17 Machi, janga hili ilikuwa imethibitishwa katika majimbo yote 50 na katika Wilaya ya Columbia.Mnamo 23 Machi, iliripotiwa kuwa Jiji la New York ilikuwa na visa 10.700 ya virusi vya korona, zaidi ya nambari ya jumla ya visa Korea Kusini.

İngilizce

By 17 March, the epidemic had been confirmed in all 50 states and in the District of Columbia.On 23 March, it was reported that New York City had 10,700 cases of the coronavirus, more than the total number of cases in South Korea.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

Tarehe 23 Januari, kama itikio kwa uamuzi wa mamlaka ya kati kutekeleza vikwazo vya usafiri Wuhan, mwakilishi wa WHO Gauden Galea alisema kuwa ilhali ilikuwa "kwa hakika si pendekezo WHO ilitoa", ilikuwa pia "ishara muhimu wa kujitolea kudhibiti janga hili mahali ambapo imeenea sana". Tarehe 30 Januari, kufuatia uthibitisho wa kuambukizwa kati ya binadamu nje ya Uchina na kuongezeka katika nambari ya visa katika nchi zingine, WHO ilitangaza mkurupuko huu kuwa Dharura ya Kimataifa ya Afya ya Umma (PHEIC), PHEIC ya sita kutokea hatua ya kwanza kuwekwa wakati wa janga la mafua la nguruwe ya 2009.

İngilizce

On 23 January, in reaction to the central authorities' decision to implement a transportation ban in Wuhan, WHO representative Gauden Galea remarked that while it was "certainly not a recommendation the WHO has made", it was also "a very important indication of the commitment to contain the epidemic in the place where it is most concentrated" and called it "unprecedented in public health history".On 30 January, following confirmation of human-to-human transmission outside China and the increase in the number of cases in other countries, the WHO declared the outbreak a Public Health Emergency of International Concern (PHEIC), the sixth PHEIC since the measure was first invoked during the 2009 swine flu pandemic.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

Tarehe 13 March 2020, ripoti isiyoweza kuthibitishwa kutoka Gazeti la Uchina Kusini ya Asubuhi ilisema kuwa kuna kisa kilichofuatiliwa hadi 17 Novemba 2019, katika mtu mwenye umri wa 55 kutoka mkoa wa Hubei, huenda ikawa kisa cha kwanza.Tarehe 26 Februari 2020, Shirika la Afya Duniani iliripoti kuwa, jinsi visa vipya vinavyosemekana zilizidi kupungua Uchina lakini zikazidi Italia, Irani, na Korea Kusini, idadi ya visa vipya nje ya Uchina ilizidi nambari ya visa vipya katika Uchina kwa mara ya kwanza.

İngilizce

On 13 March 2020, an unverified report from the South China Morning Post suggested that a case traced back to 17 November 2019, in a 55-year-old from Hubei province, may have been the first.On 26 February 2020, the WHO reported that, as new cases reportedly declined in China but suddenly increased in Italy, Iran, and South Korea, the number of new cases outside China had exceeded the number of new cases within China for the first time.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

Nambari hizi hutofautiana na eneo na wakati unapozidi, huathiriwa na kiwango cha kupima, ubora wa mfumo wa utunzaji wa afya, aina ya matibabu, wakati wa kutokea kwa kwanza, na hali ya idadi ya watu kama umri, jinsia, na hali ya afya kwa ujumla.Kiwango cha kifo hadi kisa huonyesha nambari ya vifo ikigawanywa na nambari ya visa vilivyotambuliwa katika muda fulani.

İngilizce

These numbers vary by region and over time, and are influenced by the volume of testing, healthcare system quality, treatment options, time since initial outbreak, and population characteristics such as age, sex, and overall health.The death-to-case ratio reflects the number of deaths divided by the number of diagnosed cases within a given time interval.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

ECDC na ofisi ya eneo la Ulaya ya WHO zimetoa miongozo ya hospitali na za huduma ya msingi ya afya ya kuelekeza rasilimali katika viwango kadhaa, pamoja na kuelekeza huduma za maabara kwa kupima COVID-19, kufuta taratibu zilizopangwa iwezekanapo, kukaa mbali na kutenga wagonjwa walio na COVID-19, na kuongeza uwezo wa huduma za utunzaji wa hali ya juu kwa kuwafunza wafanyakazi na kuongeza nambari ya vifaa vya kusaidia kupumua na vitanda.

İngilizce

The ECDC and the European regional office of the WHO have issued guidelines for hospitals and primary healthcare services for shifting of resources at multiple levels, including focusing laboratory services towards COVID-19 testing, cancelling elective procedures whenever possible, separating and isolating COVID-19 positive patients, and increasing intensive care capabilities by training personnel and increasing the number of available ventilators and beds.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

Baadaye, data rasmi zinaonyesha kuwa watu 6,174 walikuwa wana dalili tayari kufikia 20 Januari 2020.Kufikia 26 Machi, Marekani imezidi Uchina na Italia na nambari ya juu zaidi ya visa vilivyothibitishwa duniani.Kufikia 9 Aprili 2020, zaidi ya visa milioni 1.61 zimeripotiwa ulimwenguni kote; zaidi ya watu 97,000 wamefariki na zaidi ya watu 364,000 wamepona.

İngilizce

Later official data shows that 6,174 people had already developed symptoms by 20 January 2020.As of 26 March, the United States has overtaken China and Italy with the highest number of confirmed cases in the world.As of 9 April 2020, more than 1.61 million cases have been reported worldwide; more than 97,000 people have died and more than 364,000 have recovered.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Daha iyi çeviri için
4,401,923,520 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam