İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
hivi sasa tuna timu ya watu wa mataifa mbalimbali ambao wanashika nafasi kama wasimamizi wa sehemu mbalimbali za global voices.
we now have an amazing multinational team who act as stewards for various parts of global voices.
timu ya shughuli za hr inazingatia mwongozo wa mazingira ya mtandao ili kusaidia katika ongezeko la kazi zilizosambazwa katika wakfu.
the hr operations team is looking into webinar-based ergonomics guidance to support the increase in distributed work across the foundation.
utafiri wake uligharamiwa na mfuko wa qatar, shirika lile lile linalofadhili timu ya mpira ya barcelona, anayoichezea lionel messi.
his study was funded by the qatar foundation, the same organization that sponsors fc barcelona, home of lionel messi.
kwa kushirikiana na globaleaks, timu ya nawaat imeanzisha ukurasa maalumu unaotumia zana huru na teknolojia zinazowalinda wale wanaovujisha nyaraka na makarabrasha nyeti.
in collaboration with globaleaks, the nawaat team created a special page that deploys a number of open source applications and techniques which protect those leaking confidential documents and files.
wakati fulani victor alijipatia kazi nzuri ya kufanya maboresho ya viatu vya timu ya shule ya mpira wa miguu, kwa bahati mbaya fedha aliyoipata iliibwa.
one day he landed a big job of mending the shoes of the school football team, unfortunately that money was stolen.
window ya challenge ya tatu ni wazi. changamoto itajumuisha mandhari tatu hadi tano. timu ya innovation challenge timu itaendeleza mandhari hizi kwa kushauriana na wadau wa tanzania.
the third challenge window is open. the challenge will include three to five themes. the dli innovation challenge team will develop these themes through consultation with relevant tanzanian stakeholders.
Son Güncelleme: 2017-12-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
tunatarajia mahusiano zaidi katika siku zijazo. kwa niaba ya usimamizi wa knh, timu ya newsline ingependa kuwashukuru wafadhili wote na watakia mema na kuwatakia krismasi ya merry na mwaka mpya wenye furaha
we look forward to more relationships in the future. on behalf of the knh management, the newsline team would like to thank all the donors and well wishers and wish them a merry christmas and happy new year
Son Güncelleme: 2021-12-26
Kullanım Sıklığı: 2
Kalite:
Referans:
hiyo inahitaji kuamini kwa kiasi fulani, kwa sababu karibu wakati ule ule alipokuwa anatoa taarifa yake kwa waandishi wa habari, timu ya wapasuaji ya kigeni inayojihusisha na kazi za kibinadamu walisema jambo lililotofautiana na matamshi yake.
that takes some believing, because almost at the same time as he was issuing that press statement, a team of foreign surgeons engaging in humanitarian work inadvertenlty contradicted it.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
binafsi nimeanza kuangalia mapambano hayo huku nimezima sauti –mchanganyiko wa timu ya utangazaji wa espn na vuvuzela vina uwezo wa kutumika kama sindano m’badala ya sumu au kitu kama hicho.
i’ve personally begun watching the games on mute - what with the combination of espn’s commentary team and the vuvuzela capable of being substituted for lethal injection and all.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
ijumaa hii kwenye mazungumzo ya gv timu ya mradi wa global voices unaosaidia sauti changa kusikika (rising voices) itakuwa ikijadili namna bora ya kushinda shindano la ufadhili wa miradi midogo.
this friday on gv face the rising voices (rv) team find out best practices for winning the rising voices microgrant competition.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
@jamjoomcnn: wala sikuelezwa sababu za kutimuliwa kwangu kutoka bahrain ... nilielezwa tu kuwa mimi ndiye mwandishi pekee katika timu ya wenzangu wa cnn niliyetakiwa kuondoka ... #bahrain
@jamjoomcnn: was not given a reason for my expulsion from bahrain ... was told i was the only cnn team member being asked to leave ... #bahrain
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
@redpepperug: habari mpya: mtn imethibitisha ‘kuharibika kwa mawasiliano ya simu’ inaeleza timu ya ufundi inayoshughulika kutafuta ufumbuzi wa suala hilo #walk2work #ugandanews kupitia @mtnugandacare
@redpepperug: update: mtn confirms 'general call failure' says technical team working to resolve situation #walk2work #ugandanews via @mtnugandacare
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Benzerlik derecesi düşük bazı insan çevirileri gizlendi.
Benzerlik derecesi düşük olan sonuçları göster.