Şunu aradınız:: uangalifu zaidi katika maeneo fulani ya m... (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

uangalifu zaidi katika maeneo fulani ya mwili

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

bakteria hukua haraka zaidi katika halijoto ya mwili ya (37 °c).

İngilizce

bacteria grow much faster at body temperature (37 °c).

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

wachambuzi wanasema kuwa mswada wa sheria uliopendekezwa unaonekana kama hatua muhimu sana, lakini ambayo inaweza kuigawa zaidi somalia katika maeneo mawili yanayojitegemea au yenye aina fulani ya kujitegemea, na hata kufikia kuwa na majimbo madogo madogo.

İngilizce

analysts say the proposed law is seemingly a milestone, but one that may fracture somalia further into autonomous and semi-autonomous regions as well as ministates.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kadhalika wengine wanaripoti juu ya matukio katika maeneo fulani fulani, huku wakiwa na matumaini ya kuwaondoa hofu ndugu na wapenzi walio nje ya nchi (mpaka hivi sasa, ni taarifa chache mno zilizokwishatolewa kwenye wavuti kuhusu waliofariki na waliojeruhiwa).

İngilizce

still others are reporting on incidents in specific locations, in the hopes of assuaging the concerns of loved ones abroad (as of yet, very little information on those injured and dead has been released online).

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

wanawake wa ki-hindu walioolewa hujipaka sindoor (aina fulani ya chokaa ya rangi) kwenye mapaji ya nyuso zao na ni jambo la kawaida katika maeneo mengi katika nchi za india na nepali.

İngilizce

hindu married women wear sindoor (vermilion power) on their forehead and this practice is common in many parts of india and nepal.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kwa vile visa kwa sasa vimejumuishwa katika maeneo fulani katika nchi za eu/eea na uingereza, na hospitali na vitengo vya kushughulikia watu walio katika hali mahututi kikawaida huduma eneo la idadi maalum, taarifa kuhusu visa na vitanda vya kulazwa kwa watu walio katika hali mahututi inapaswa kupatikana katika vitengo vya kihimaya vya kutoa majina kwa ajili ya takwimu ya kiwango cha 2 (nuts-2).

İngilizce

since cases have so far clustered in certain regions in eu/eea countries and the uk, and hospitals and intensive care units usually serve a defined regional catchment population, information about cases and intensive care beds should preferably be made available at the nomenclature of territorial units for statistics 2 (nuts-2) level.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hizi zinaweza kutumika kugundua maambukizi ndani ya watu kuanzia siku 7 baada ya kuanza kwa dalili, kubaini kinga ya mwili, na ufuatiliaji wa watu.majaribio yanaweza kufanywa kwenye mahabara ya kati ya (clt) au kwa upimaji katika maeneo ya utunzaji (poct).

İngilizce

these can be used to detect infection in individuals starting 7 days or so after the onset of symptoms, to determine immunity, and in population surveillance.assays can be performed in central laboratories (clt) or by point-of-care testing (poct).

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
7,770,570,995 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam