İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
msumbiji: madaktari watangaza mgomo
mozambique: medical professionals announce strike · global voices
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mtandao wa africa brains watangaza shindano la wanablogu wa kiafrika wenye fikra pevu watakaowania kitita cha dola hamsini ($50).
africa brains announces african thinkers blog competition with a chance to win $50.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
bado tukiwa bahraini, sohail al gosaibi ananusa njama kwenye hewa, anaona kwamba kukuza sana madhara ya mafua ya nguruwe kunayanufaisha mashirika ya habari, watangaza biashara na viwanda vya madawa.
still in bahrain, sohail al gosaibi smells a conspiracy in the air, noting that exaggerating the effect of swine flu benefits the media, advertising and pharmaceutical industries.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
na magazeti na idhaa za habari ni lazima viuze nafasi za matangazo na muda wa kurusha matangazo hewani ili kutengeneza fedha, na kwa kadiri habari inavyokuwa inatishia na kuogopesha ndivyo wanavyopata watazamaji na wasomaji wengi zaidi, ambavyo huongeza watangaza biashara, na faida zaidi.
and newspapers and news channels have to sell advertising space and airtime to make money, and the more shocking and scary their stories, the more viewers and readers they have, which leads to more advertisers, and more profits.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: