Şunu aradınız:: weka udhibitisho wa hatua 2 (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

weka udhibitisho wa hatua 2

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

mwitio wa hatua za kubana matumizi nchini ugikiriki?

İngilizce

a reaction to austerity measures in greece?

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

mchanganyiko wa hatua za kuzuia kuongezeka na kuepukana huweza kufanywa pamoja.

İngilizce

a combination of both containment and mitigation measures may be undertaken at the same time.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

wakati huo huo, raia watumiao mtandao wamegawanyika kuhusu ufanisi wa hatua hiyo.

İngilizce

meanwhile, netizens have been divided over the efficacy of the move.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kuna pia uwezekano wakati wa janga kubwa wa kufuatilia ufanisi wa hatua zozote za kudhibiti kusambaa.

İngilizce

there is also the potential during any pandemic to monitor the effectiveness of any transmission control measures.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

chengdu living anawafundisha wasomaji wake namna ya kutafuta chumba cha kupanga nchini china bila kwenda kwa dalali kwa kutoa mwongozo wa hatua tano.

İngilizce

chengdu living teaches readers how to rent an apartment in china without going through the agent by giving a 5 step-to-step guide.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kwa kuwa wanaharakati wengi na raia wa kawaida wameongeza sana utumiaji wa intaneti ili kutoa maoni yao na kuwasiliana na wengine, serikali nyingi pia zimeongeza ufuatiliaji wa kichunguzi, kujipenyeza, uchukuaji wa hatua za kisheria na unyanyasaji.

İngilizce

as activists and ordinary citizens have increasingly made use of the internet to express their opinions and connect with others, many governments have also increased surveillance, filtering, legal actions and harassment.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hata hivyo, kukiwa na rufaa inayokaribia kukatwa na uwezekano wa hatua zitakazochukuliwa na mahamakama ya haki za binadamu ya ulaya, l4l, blogu mpya ya lugha ya kiingereza ya azeri, inasema kwamba huu ni mwanzo tu:

İngilizce

however, with an appeal due to be lodged and possible action in the european court of human rights, l4l, a new english-language azeri blog, says that this is just the beginning.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

"programu ya kimsingi ya huduma ya afya" iliyotekelezwa na wizara ya elimu huko ufilipino ni mfano wa hatua ya hali ya juu kukuza afya na elimu ya watoto.

İngilizce

the "essential health care program" implemented by the department of education in the philippines is an example of at scale action to promote children's health and education.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

maswali ya mkutano wa wavuti wa mkoa wa amerika je! usrc inafanyaje kazi na itifaki na sheria ya agano la krismasi? agano la krismasi | ct inathibitisha kwamba agano la krismasi linaonyesha kwa usahihi sheria ya ct ambayo inapendekeza kuunda mkutano wa mkoa wa merika. pia hufanya muundo wa mkutano wa mkoa uwe sawa ulimwenguni. kama sheria ya ct usrc, sheria ya agano la krismasi inaunda mchakato wa hatua mbili huko us unaanza na kamati ya muda ya mkoa wa amerika ambayo

İngilizce

us regional conference webinar faq how does the usrc work with the protocol and christmas covenant legislation? christmas covenant | the ct affirms that the christmas covenant accurately reflects the ct legislation which proposes creating a u.s. regional conference. it also makes the regional conference structure consistent worldwide. like the ct usrc legislation, the christmas covenant legislation creates a two stage process in the u.s. it starts with an interim u.s. regional committee that

Son Güncelleme: 2020-06-12
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Benzerlik derecesi düşük bazı insan çevirileri gizlendi.
Benzerlik derecesi düşük olan sonuçları göster.

Daha iyi çeviri için
7,762,811,962 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam