İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
kuchanganya zege
mixing concrete
Son Güncelleme: 2023-09-10
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
watu wengi bado wanazikwa kwenye vifusi vya zege.
many are still buried under concrete rubble.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
moto huo uliunguza karibu kila kitu chenye thamani na wakati wazima moto walipomaliza kuuzima moto huo; kila kitu kilikuwa ni majivu isipokuwa kuta za zege na nguzo.
the fire burnt nearly every valuable item and by the time the fire service personnel were done putting out the inferno; everything was down to ashes except the concrete walls and pillars.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mara vumbi limetulia tena - ingawa awamu hiyo bado ni mapema - yaelekea lundo la zege kutoka kwenye jengo la ghorofa 4 halikuacha mtu akiwa hai.
once the dust has settled again - although the phrase is premature - the heap of concrete from the 4-storied building seems to leave no survivor.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: