Şunu aradınız:: pole kwa kazi nyingi (Svahili - Almanca)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

German

Bilgi

Swahili

pole kwa kazi nyingi

German

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

Almanca

Bilgi

Svahili

malalamiko ya lumad yanaonekana sana kwenye kazi nyingi za federico.

Almanca

der appell der lumad taucht in vielen weken federicos auf.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

baadhi ya tembo wanakufa kutokana na kufanyishwa kazi nyingi katika maeneo ya shughuli za ukataji na usafirishaji wa magogo.

Almanca

einige gehen an der schweren arbeit in der holzwirtschaft zugrunde.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

na wale walio kadhibisha ishara zetu, tutawapururia pole pole kwa namna ambayo wenyewe hawaijui.

Almanca

diejenigen aber, die unsere zeichen für lüge erklären, werden wir stufenweise (dem verderben) näherbringen, von wo sie nicht wissen.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

uharibufu mkubwa kwenye makubusho hayo nchini syria umetokea kwenye eneo la kaskazini magharibi mwanchi hiyo, ambapo kumekuwa na matukio ya kuibwa kwa utajiri mkubwa wa kiutamaduni, na kazi nyingi za sanaa hazijulikani ziliko.

Almanca

der meiste schaden bezüglich museen in syrien ist im nordwesten des landes zu verzeichnen, wo es plünderungen wertvollen kulturguts gab und zurzeit viele kunstgegenstände als vermisst gelten.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kwa upande wake, serikali ilikubali kukosolewa kwa kazi yake ya kutoa misaada lakini ilionya dhidi ya wanasiasa ambao wanaitumia hali hiyo kuendeleza ajenda zao za kisiasa:

Almanca

die regierung hat die kritik in bezug auf die hilfsmaßnahmen wohl anerkannt. im selben atemzug warnte sie jedoch vor politikern, die diese notlage ausnützten, um ihr eigenes politisches programm voranzubringen:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

wizara ya umoja wa maendeleo ya wanawake na watoto nchini india inaufikiria mswada ambao kama utapitishwa na bunge utahalalisha ulazima wa waume kumega sehemu ya mishahara yao na kuwalipa wake wasio na ajira kama ujira kwa kazi za nyumbani wanazozifanya.

Almanca

das indische ministerium für frauen- und kinderentwicklung erwägt einen gesetzentwurf, der, sollte ihn das parlament verabschieden, ehemänner per gesetz dazu verpflichten würde, ihren frauen für die erledigung der hausarbeit einen anteil ihres monatlichen einkommens zu zahlen.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

wengine wanashangaa kuwa itawezekanaje kuweka kiwango sahihi cha fedha kwa kazi zote zinazofanyika majumbani na namna ambavyo sheria hiyo itakavyofanya kazi- huku maswali mengi yakitazamiwa kuulizwa kufuatia mswada huu wa sheria.

Almanca

andere machen sich gedanken darüber, wie alle anfallenden arbeiten in einem haushalt mit einem „preisschild“ zu versehen seien und wie ein solches gesetz in die praxis umzusetzen sei, angesichts verschiedener fragen, die es ganz bestimmt mit sich bringen würde.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

watumiaji wa mtandao wa iran wameonesha hisia zao kufuatia kosa hili la “jinai” linalotukumbusha kwa mara nyingine tena kuwa wanablogu wanaweza kuishia kutoa maisha yao sadaka kwa kazi zao zilizo na tija.

Almanca

iranische netzbürger reagierten auf dieses "verbrechen" und erinnerten uns damit erneut daran, dass blogger für ihre online-aktivitäten manchmal mit dem leben einstehen müssen.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

mradi wa mwanajumuia mwingine wa global voices aliyejipatia tuzo kwa kazi yake nzuri, jillian c. york, utajikita zaidi kwenye makampuni binafsi, pamoja na kuwa, malengo yake yatakuwa kwa mtazamo tofauti.

Almanca

das projekt der preisträgerin von global voices, jillian c. york, setzt sich ebenfalls mit privatunternehmen auseinander, allerdings von einem anderen blickwinkel aus.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Benzerlik derecesi düşük bazı insan çevirileri gizlendi.
Benzerlik derecesi düşük olan sonuçları göster.

Daha iyi çeviri için
7,793,800,367 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam