İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
basi, muwe wakamilifu kama baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.
darum sollt ihr vollkommen sein, gleichwie euer vater im himmel vollkommen ist.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mkisha kuwa wakamilifu katika kutii, sisi tuko tayari kuadhibu kila namna ya kutotii.
und sind bereit, zu rächen allen ungehorsam, wenn euer gehorsam erfüllt ist.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
tunafurahi kwamba sisi tu dhaifu, lakini ninyi mna nguvu; kwa hiyo tunaomba mpate kuwa wakamilifu.
wir freuen uns aber, wenn wir schwach sind, und ihr mächtig seid. und dasselbe wünschen wir auch, nämlich eure vollkommenheit.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
muwe na hakika kwamba uvumilivu wenu utawategemeza mpaka mwisho, mpate kuwa wakamilifu na watimilifu, bila kupungukiwa chochote.
die geduld aber soll festbleiben bis ans ende, auf daß ihr seid vollkommen und ganz und keinen mangel habet.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
hivyo ataiimarisha mioyo yenu, nanyi mtakuwa wakamilifu na watakatifu mbele ya mungu na baba yetu wakati bwana wetu yesu atakapokuja pamoja na wote walio wake.
daß eure herzen gestärkt werden und unsträflich seien in der heiligkeit vor gott und unserm vater auf die zukunft unsers herrn jesu christi samt allen seinen heiligen.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mmefika kwenye kusanyiko kubwa la wazaliwa wa kwanza wa mungu, ambao majina yao yameandikwa mbinguni. mnasimama mbele ya mungu aliye hakimu wa wote, na mbele ya roho za watu waadilifu waliofanywa kuwa wakamilifu.
und zu der gemeinde der erstgeborenen, die im himmel angeschrieben sind, und zu gott, dem richter über alle, und zu den geistern der vollendeten gerechten
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
sheria ya wayahudi si picha kamili ya mambo yale halisi: ni kivuli tu cha mema yanayokuja. dhabihu zilezile hutolewa daima, mwaka baada ya mwaka. sheria yawezaje, basi, kwa njia ya dhabihu hizo, kuwafanya wale wanaoabudu wawe wakamilifu?
denn das gesetz hat den schatten von den zukünftigen gütern, nicht das wesen der güter selbst; alle jahre muß man opfern immer einerlei opfer, und es kann nicht, die da opfern, vollkommen machen;
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: