İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
wote hawa, wamewekwa katika kundi la wahamiaji.
sie alle werden als immigranten bezeichnet.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
tangu wakati huo, wamewekwa kizuizini kwenye mahabusu ya maekelawi huku wakinyimwa haki ya kuonana na wanasheria.
sie werden seitdem in der haftanstallt maekelawi gefangen gehalten. der zugang zu einer rechtsberatung wird ihnen verwehrt.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
au padri ambaye amegeuka kuwa mwindaji wa watoto wasio na kinga ambao wamewekwa chini ya usimazi wake?
oder priester, die zu raubtieren gegenüber verletzbaren kindern wurden, die ihnen zur verfügung gestellt wurden?
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kutoka huko walisafiri kwa meli wakarudi antiokia ambako hapo awali walikuwa wamewekwa chini ya ulinzi wa neema ya mungu kwa ajili ya kazi ambayo sasa walikuwa wameitimiza.
und von da schifften sie gen antiochien, woher sie verordnet waren durch die gnade gottes zu dem werk, das sie hatten ausgerichtet.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kila mtu anapaswa kuwatii wenye mamlaka katika serikali; maana mamlaka yote hutoka kwa mungu; nao wenye mamlaka wamewekwa na mungu.
jedermann sei untertan der obrigkeit, die gewalt über ihn hat. denn es ist keine obrigkeit ohne von gott; wo aber obrigkeit ist, die ist von gott verordnet.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
blogu ya misri wikithawra , ambayo inaendeshwa na kituo cha misri cha uchumi na haki za kijamii inadai kuwa watu wasiopungua 80 wamefariki wakiwa chini ya ulinzi katika kipindi cha mwaka mmoja na zaidi ya watu 40,000 wamewekwa kizuizini au wako kwenye mashitaka katika kipindi cha mwenzi julai 2013 (kuiondoa serikali ya morsi) na katikati ya mei 2014.
der ägyptische blog wikithawra des ägyptischen zentrums für wirtschaftliche und soziale rechte behauptet, dass mindestens 80 menschen in den letzten jahren in haft verstarben und zwischen juli 2013 (der amtsenthebung morsis) und mitte mai 2014 mehr als 40.000 menschen inhaftiert oder unter anklage gestellt wurden.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: