İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
usikubali kupokea mashtaka dhidi ya mzee yasipowakilishwa na mashahidi wawili au watatu.
لا تقبل شكاية على شيخ الا على شاهدين او ثلاثة شهود.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mnahitaji kuwa na uvumilivu, ili mweze kufanya anayotaka mungu na kupokea kile alichoahidi.
لانكم تحتاجون الى الصبر حتى اذا صنعتم مشيئة الله تنالون الموعد.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
na twaweza kupokea kwake chochote tunachoomba, maana tunazitii amri zake na kufanya yale yanayompendeza.
ومهما سألنا ننال منه لاننا نحفظ وصاياه ونعمل الاعمال المرضية امامه.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
atapokea mengi zaidi wakati huu wa sasa, na kupokea uzima wa milele wakati ujao."
الا ويأخذ في هذا الزمان اضعافا كثيرة وفي الدهر الآتي الحياة الابدية
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
msiwalipe watu ovu kwa ovu, au tusi kwa tusi; bali watakieni baraka, maana ninyi mliitwa na mungu mpate kupokea baraka.
غير مجازين عن شر بشر او عن شتيمة بشتيمة بل بالعكس مباركين عالمين انكم لهذا دعيتم لكي ترثوا بركة.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kwa kuzima mtandao wa intaneti na huduma za ujumbe mfupi wa maandishi na kufunga tovuti, serikali ya kongo inawanyima raia haki zao za msingi za kuwasiliana na kupokea na kusambaza taarifa
من خلال إغلاق خدمات الإنترنت والرسائل وحجب المواقع الإلكترونية، تحرم السلطات الكونغولية المواطنيين من حقهم الأساسي في التواصل وتلقي ونقل المعلومات
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
wakati atakapokuja siku ile kupokea utukufu kutoka kwa watu wake na heshima kutoka kwa wote wanaoamini. ninyi pia mtakuwa miongoni mwao, kwani mmeuamini ule ujumbe tuliowaletea.
متى جاء ليتمجد في قديسيه ويتعجب منه في جميع المؤمنين. لان شهادتنا عندكم صدقت. في ذلك اليوم.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
ndugu zangu wapenzi, sikilizeni! mungu amechagua watu ambao ni maskini katika ulimwengu huu ili wapate kuwa matajiri katika imani na kupokea utawala aliowaahidia wale wanaompenda.
اسمعوا يا اخوتي الاحباء أما اختار الله فقراء هذا العالم اغنياء في الايمان وورثة الملكوت الذي وعد به الذين يحبونه.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kwa hiyo, tupilieni mbali mwenendo mchafu na tabia zote mbovu; jiwekeni chini ya mungu na kupokea ule ujumbe uliopandwa mioyoni mwenu, ambao waweza kuziokoa nafsi zenu.
لذلك اطرحوا كل نجاسة وكثرة شر فاقبلوا بوداعة الكلمة المغروسة القادرة ان تخلّص نفوسكم.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
nimekuwa nikiwapeni daima mfano kwamba kwa kufanya kazi mithili hiyo tunapaswa kuwasaidia walio dhaifu, tukikumbuka maneno ya bwana yesu mwenyewe: heri zaidi kutoa kuliko kupokea."
في كل شيء اريتكم انه هكذا ينبغي انكم تتعبون وتعضدون الضعفاء متذكرين كلمات الرب يسوع انه قال مغبوط هو العطاء اكثر من الاخذ.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
watu hawa wote walikufa wakiwa na imani. walikufa kabla ya kupokea mambo ambayo mungu alikuwa ameahidi, lakini kwa mbali waliyaona, wakashangilia, na kukiri wazi kwamba wao walikuwa wageni na wakimbizi duniani.
في الايمان مات هؤلاء اجمعون وهم لم ينالوا المواعيد بل من بعيد نظروها وصدقوها وحيوها واقروا بانهم غرباء ونزلاء على الارض.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: