Şunu aradınız:: akiishi (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

akiishi

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

mtu huyo alikuwa akiishi makaburini wala hakuna mtu aliyeweza tena kumfunga kwa minyororo.

İngilizce

who had his dwelling among the tombs; and no man could bind him, no, not with chains:

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

rina amekuwa akiishi kwenye ndoa kwa miaka 8 sasa na binti yake anasoma darasa la tatu.

İngilizce

rina has been married for 8 years and has a daughter in the third grade.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

petro alikaa siku kadhaa huko yopa, akiishi kwa mtu mmoja mtengenezaji wa ngozi aitwaye simoni.

İngilizce

and it came to pass, that he tarried many days in joppa with one simon a tanner.

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

alikombolewa wakati somaly mam, mwanaharakati wa kupinga utumwa na sura ya taasisi ya somaly mam, alipopanga uvamizi kwenye danguro alilokuwa akiishi vann.

İngilizce

she was freed when somaly mam, an anti-slavery activist and the face of the somaly mam foundation, organized a raid on vann's brothel.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

tangia mama yake yang aachishwe kazi katika kiwanda fulani, alikuwa akiishi na binti yake katika bweni la chuo kikuu cha wuhan ambako yang alisoma shahada yake ya kwanza.

İngilizce

ever since yang's mother had been laid off from the factory, she stayed with her daughter in the dormitory in the wuhan university where she had her undergraduate study.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

blogu ya west africa wins always: hii ni blogu ya mwanablogu pauline, mwanahabari ambaye amekuwa akiishi nchini ivory coast tangu mwaka 2003.

İngilizce

west africa wins always: this is a blog by pauline, a jounalist who has been living in ivory coast since 2003.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

katika mitandao ya kijamii vuguvugu lililipuka kuzishinikiza mamlaka za nchi ya guinea kuchunguza mazingira ya kupotea kwa mwandishi huyo na mhadhiri wa chuo kikuu miezi sita liyopita katika jiji la luanda, alikokuwa akiishi tangu mwaka 2004.

İngilizce

on social networks a movement sprung up to pressure guinean authorities to investigate the disappearance, six months ago, of the journalist and university professor in the angolan capital city luanda, where she has lived since 2004.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hivyo mwanamke huyo akiishi na mwanamume mwingine wakati mumewe yungali hai, ataitwa mzinzi; lakini mumewe akifa, mwanamke huyo yu huru kisheria, na akiolewa na mwanamume mwingine, yeye si mzinzi.

İngilizce

so then if, while her husband liveth, she be married to another man, she shall be called an adulteress: but if her husband be dead, she is free from that law; so that she is no adulteress, though she be married to another man.

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

alisema kwamba japokuwa amepiga kura katika "kila uchaguzi uliofanyika wakati alipokuwa akiishi uingereza," alikuwa "haoni sababu" ya kufanya hivyo nyumbani naijeria kwa sababu ya dhana iliyoenea kwamba 'kura za wanaijeria hazina maana' na kwamba 'washindi tayari wamekwisha amuliwa.'

İngilizce

he said that although he had voted in “every election that was held while i lived in england,” at home in nigeria he just “didn't see the point,” because of the prevalent assumption that 'nigerian votes do not count' and 'the winners have already been decided.'

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Daha iyi çeviri için
7,792,408,581 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam