İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
mrna ni hati za jini za theluthi ya mwisho wa genomu ya virusi baada ya kupindana kwa kwanza kwa fremu ya kusoma.
the mrnas are gene transcripts of the last third of the virus genome after the initial overlapping reading frame.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kwenye twita, watumiaji wametingwa na shughuli ya kutenganisha mawasiliano hayo ya waya na kutoa maoni juu ya maudhui yake kwa kutumia ujumbe wa herufi 140.
on twitter, users have been busy breaking down the cables and commenting on their content in 140 character messages.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
toleo lililokuwa linatarajiwa sana, release, kutoka tovuti inayotoboa siri wikileaks, linatarajiwa kuweka hadharani zaidi ya mawasiliano 250,000 ya waya – ambayo ni seti ya nyaraka za siri kubwa zaidi kuwekwa hadharani.
the much anticipated release, by whistle-blower website wikileaks, is expected to make more than 250,000 leaked us embassy cables public - the largest set of confidential documents ever to be released into the public domain.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Benzerlik derecesi düşük bazı insan çevirileri gizlendi.
Benzerlik derecesi düşük olan sonuçları göster.