İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
serikali ya myanmar inajiandaa kupeleka jopo la wataalam nchini malasia.
myanmar government is preparing to send a team of special representatives to malaysia.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kiasi cha fedha kinachokadiriwa kufikia dola za kimarekani milioni 45 zinahitajika ili kurekebisha na kujenga upya makazi na miundombinu, ambapo nchi inajiandaa kukabiliana na hasara hiyo.
with estimates running as high as $45 billion for reconstruction and rebuilding, the country prepares to cope with the losses.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
nguyen hoang vi, mwanablogu raia wa vietnam aliyetupwa gerezani kwa sababu ya kuandika maoni yaliyoikosoa serikalisuala la nguyen hoang vi, mwanablogu raia wa vietnam aliyetupwa gerezani kwa sababu ya kuandika maoni yaliyoikosoa serikali, ni mmoja ambaye suala lake limeibuliwa na makundi ya kutetea haki za watu wakati ambapo dunia inajiandaa kuadhimisha siku ya kimataifa ya kukomesha udhalimu wa watawala hapo kesho tarehe 23 novemba.
nguyen hoang vi, a vietnamese blogger who was imprisoned for writing critical commentaries about the governmentthe case of nguyen hoang vi, a vietnamese blogger who was imprisoned for writing critical commentaries about the government, is among the issues raised by human rights groups as the world celebrates international day to end impunity on 23 november.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: