Şunu aradınız:: inakuwaje (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

inakuwaje

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

#sawa, inakuwaje kwa mashoga wa nchi nyingine.

İngilizce

# ok, what of gay people in other countries.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

basi inakuwaje unapo wasibu msiba kwa sababu ya yale iliyo tanguliza mikono yao?

İngilizce

but how will it be when an affliction visits them because of what their hands have sent ahead?

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

wakati nilipokuwa shuleni nilijiuliza jambo hili hili, inakuwaje walimu wajisaidie kwenye vyoo tofauti.

İngilizce

when i was in school i did wonder the same thing, how come teachers get to pee in seperate toilets.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

inakuwaje kwamba watu wa misri wamebeba chuki nyingi kiasi hiki, na wanataka kulipiza kisasi!

İngilizce

how come the egyptian people carries all this amount of hatred and will to take revenge!

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

3- inakuwaje kosa pekee la mtu kuanzisha biashara liwe ni kwa sababu eti anaongoza huduma ya kikristo?

İngilizce

3- how can a man’s only crime for starting a business be the fact that he heads a christian ministry?

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

inakuwaje hawa wanafunzi - hasa wanafunzi walio hai kwenye siasa - hawatumii vyombo vya habari vya kijamii ambavyo vinapatikana.

İngilizce

how is it that students — particularly politically-active students — are not making use of the social media tools available to them.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

basi inakuwaje unapo wasibu msiba kwa sababu ya yale iliyo tanguliza mikono yao? hapo tena hukujia wakiapa kwa mwenyezi mungu wakisema: hatukutaka ila wema na mapatano.

İngilizce

how about when a disaster strikes them because what their hands have put forward, and then they come to you swearing by god: “we only intended goodwill and reconciliation”?

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kuna maswali machache yanayokuja akilini kuhusu haki ya mwanamke mjamzito kuishi na kumlea mwanae anapokuwa kapatikana na hatia kwa kosa la jinai la namna fulani: • inakuwaje kwao wanapokuwa wajawazito na kupata mtoto wakiwa gerezani?

İngilizce

there are a few questions that come to mind regarding a pregnant woman's right to live and to raise her child when she has been convicted for some sort of crime: what is it like for them to be pregnant and have their child behind bars?

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kwa mtu mgeni ni rahisi kujiuliza: inawezekanaje kwamba nchi hii ya kupendeza, ambayo mara nyingi watu wengi barani afrika huichukulia kama ya kupigiwa mfano kwa namna yake bora ya uendeshaji, inakuwaje kwamba iliingia katika unyama huo mkubwa usiosimulika?

İngilizce

a newcomer thinks: how can this beautiful country, routinely described by africa hands as one of the better functioning countries on the continent, have experienced such savagery?

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
7,766,038,829 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam