Şunu aradınız:: kukabiliana (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

kukabiliana

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

kukabiliana na changamoto zilizopo katika wizara zilizoainishwa

İngilizce

overcoming the challenges in youthful

Son Güncelleme: 2024-04-26
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

haikujalisha, harakati za kukabiliana na udhalilishaji huo zinaendelea.

İngilizce

nevertheless, initiatives to combat harassment continue.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hata hivyo, polisi walifanikiwa kukabiliana mapema na wavamizi hao.

İngilizce

police immediately blockaded the scene.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

awdf ilitoa maoni yake machache ya namna ya kukabiliana na tatizo.

İngilizce

awdf also made a few recommendations for dealing with the situation.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

ibilisi tunayemjua ni mdogo mno kukabiliana na kizee hiki cha miaka 90!

İngilizce

high point of dramtic irony. mugabe tags nigeria as corrupt.lol. the devil we know is too young to deal with a 90 year old. — qrriiss (@qrriiss) april 13, 2014

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

inaonekana kuwa hapakuwa na mipango yoyote ya kukabiliana na mgogoro ambao ulikuwa unatokota.

İngilizce

there appeared to be no real plan to deal with the brewing conflict.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kuna njia milioni moja na moja za kuvizunguka vizingiti vyako, na hautaweza kukabiliana navyo vyote.

İngilizce

there are a million and one ways to get around your blockades, and you'll never keep up with them.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

ashukuriwe ndugu dasuki kwani mwezi uliopita alizindua mkakati mzuri kabisa wa kukabiliana na magaidi.

İngilizce

to his credit dasuki launched impressive anti-terror strategy last month.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hili litamfanya jonathan arudishe imani kwa wale wapinzani wake wanaohoji uwezo wake na utayari wake wa kukabiliana na boko haram.

İngilizce

that would make jonathan have something to show the many critics that have questioned both his capability and commitment to respond to boko haram.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

ilivyokuwa katika janga kubwa la h1n1 la 2009, npi inaweza kuwa sehemu muhiu ya kukabiliana na janga kubwa.

İngilizce

as the experience from the 2009 h1n1 pandemic has shown, npis can be a crucial component of pandemic mitigation.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kituo cha kukabiliana na ugojwa huu kimepanga kupulizia dawa kutoka angani ili kuangamiza inzi weusi wanaosadikiwa kuwa ndio chanzo kikubwa cha ugojwa huu.

İngilizce

the center for disease control plans to carry out aerial spraying targeting black flies, which are suspected to be the major cause of this illness.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kinga mwilini mwa binadamu ikiwa ni pamoja na viziada kama vile c3a na c5a na antibodi mbalimbali pia ni muhimu katika kukabiliana na maambukizi ya virusi.

İngilizce

the humoral immunity including complements such as c3a and c5a and antibodies is also essential in combating the viral infection.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hata hivyo, haijawa wazi kama ni kweli mpango huo ni matokeo ya moja kwa moja ya kampeni ya kukabiliana na ebola iliyoanzia kwenye mitandao ya kijamii.

İngilizce

however, it is not clear whether this initiative is the direct result of the ebola free campaign on social media.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kiasi cha fedha kinachokadiriwa kufikia dola za kimarekani milioni 45 zinahitajika ili kurekebisha na kujenga upya makazi na miundombinu, ambapo nchi inajiandaa kukabiliana na hasara hiyo.

İngilizce

with estimates running as high as $45 billion for reconstruction and rebuilding, the country prepares to cope with the losses.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

katika siku ya ugonjwa wa kisukari duniani inayoadhimishwa kila tarehe 14 novemba, india imedhamiria kukabiliana na janga la kuongezeka kwa wagonjwa wa kisukari ambao kwa sasa ni tishio nchini humo.

İngilizce

on world diabetes day on november 14, india renewed its pledge to fight the growing diabetes menace in the country.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hifadhi alioianzisha haikuwa na uwezo wa kukabiliana na uharibifu tulioufanya katika mazingira na mwishowe mwaka 2004 baada ya uchunguzi uliofanywa na uicn kwa udhamini wa shirika la kimataifa la birdlife, ndege hao walitangzwa rasmi kuwa wametoweka.

İngilizce

her natural reserve wasn’t enough to counteract the damage we did to their environment and finally in the year 2004 after a study made by the uicn with the sponsorship of birdlife international, the bird was officially considered extinct.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

ikiwa na watu zaidi ya milioni 60 wanaougua ugojwa wa kisukari na wengine wanaokadiriwa kufikia milioni 77 walio katika hatihati ya kuugua ugojwa huu, nchi ya india inajikuta katika vita kali ya kukabiliana na janga la ugonjwa wa kisukari.

İngilizce

with over 60 million diabetics and another estimated 77 million people being considered pre-diabetic, india is caught in the throes of a diabetes crisis.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

anaifundisha hadhira ya watoto wadogo kuhusu kukabiliana na kuumwa na kupotelewa....ingawa ngono huwa haitajwi kamwe katika kuzungumzia hali ya kami, watu wengine wamesema kuwa kuwepo kwa mhusika mwenye virusi vya ukimwi lisingekuwa jambo sahihi kwa hadhira ya watazamaji wadogo.

İngilizce

she teachers her young audience about coping with illness and loss...even though sex is never mentioned when talking about kami’s condition, some people have said that having an hiv positive character would be inappropriate for a young viewing audience.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

anasema nyimbo hizo tulivu zinawasaidia wazazi "kukabiliana na hali ya kusumbuka na watoto, au wanapojikuta hawawezi kuwafanya walale, au hata katika nyakati ambazo wao wenyewe wamechoka."

İngilizce

she says lullabies help parents "deal with the situation in which they are being wound up by a child, or they are failing to get them to sleep, or they are feeling really, really tired themselves."

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

mchakato huu wa kuingia unahitaji pia utayarishaji wa protini s na vizuia protini vya serine kuu ya tmprss2, uzuiaji ambao unachunguzwa kwa sasa kama matibabu yanayowezekana. hii imesababisha wengine kudhania kwamba kupunguza viwango vya ace2, katika seli, kunaweza kusaidia kukabiliana na maambukizi.

İngilizce

this entry process also requires priming of the s protein by the host serine protease tmprss2, the inhibition of which is under current investigation as a potential therapeutic.this has led some to hypothesize that decreasing the levels of ace2, in cells, might help in fighting the infection.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
7,787,698,658 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam