İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
lakini yesu akaenda kwenye mlima wa mizeituni.
jesus went unto the mount of olives.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kisha wakaimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa mizeituni.
and when they had sung an hymn, they went out into the mount of olives.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
baada ya kuimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa mizeituni.
and when they had sung an hymn, they went out into the mount of olives.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kisha mitume wakarudi yerusalemu kutoka mlima wa mizeituni ulioko karibu kilomita moja kutoka mjini.
then returned they unto jerusalem from the mount called olivet, which is from jerusalem a sabbath day's journey.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
yesu na wanafunzi wake walipokaribia yerusalemu na kufika bethfage katika mlima wa mizeituni, aliwatuma wanafunzi wake wawili,
and when they drew nigh unto jerusalem, and were come to bethphage, unto the mount of olives, then sent jesus two disciples,
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
yesu akatoka, na kama ilivyokuwa desturi yake, akaenda katika mlima wa mizeituni; wanafunzi wake wakamfuata.
and he came out, and went, as he was wont, to the mount of olives; and his disciples also followed him.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
yesu alipokuwa ameketi juu ya mlima wa mizeituni akielekea hekalu, petro, yakobo, yohane na andrea wakamwuliza kwa faragha,
and as he sat upon the mount of olives over against the temple, peter and james and john and andrew asked him privately,
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
wakati wa mchana, siku hizo, yesu alikuwa akifundisha watu hekaluni; lakini usiku alikuwa akienda katika mlima wa mizeituni na kukaa huko.
and in the day time he was teaching in the temple; and at night he went out, and abode in the mount that is called the mount of olives.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
alipofika karibu na yerusalemu, katika mteremko wa mlima wa mizeituni, umati wote na wanafunzi wake, wakaanza kushangilia na kumtukuza mungu kwa sauti kubwa, kwa sababu ya mambo makuu waliyoyaona;
and when he was come nigh, even now at the descent of the mount of olives, the whole multitude of the disciples began to rejoice and praise god with a loud voice for all the mighty works that they had seen;
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
yesu alipokuwa ameketi juu ya mlima wa mizeituni, wanafunzi walimwendea faraghani, wakamwuliza, "twambie mambo haya yatatukia lini? ni ishara gani itakayoonyesha kuja kwako na mwisho wa nyakati?"
and as he sat upon the mount of olives, the disciples came unto him privately, saying, tell us, when shall these things be? and what shall be the sign of thy coming, and of the end of the world?
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor