Şunu aradınız:: mji mkuu wa marikani ni mji gani (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

mji mkuu wa marikani ni mji gani

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

mji mkuu wa angola, luanda, ni mji aghali sana.

İngilizce

the capital of angola, luanda, is a very expensive city.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hekalu jijini phnom penh, mji mkuu wa cambodia

İngilizce

a temple in phnom penh, cambodia's capital

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

jana ilikuwa ni miongoni mwa siku nyingi za umwagaji damu kwa mji mkuu wa balochistan ambao ni, quetta.

İngilizce

yesterday was one of many blood-soaked days for balochistan’s capital, quetta.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

maandamano yalifanyika wakati huo huo kwenye mji mkuu wa santiago sambamba na maeneo mengine ya nchi hiyo.

İngilizce

the march was simultaneously carried out in the capital city santiago and several other locations in the country.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

aprili 7, niger ilizindua katika mji mkuu wa niamey kituo chake cha kwanza cha treni kuwahi .

İngilizce

on april 7, niger inaugurated in the capital niamey its first train station ever .

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hata hivyo, ubalozi wa marekani katika mji mkuu wa islamabad nchini pakistani umekataa kupokea msaada kutoka kwa saeed.

İngilizce

the american embassy in pakistani capital islamabad however refused to accept help from saeed.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

huko brussels, ambao ni mji mkuu wa kiutawala wa ulaya, silvia muñoz solano na alexander molina lópez , walipiga kura.

İngilizce

in brussels, the administrative capital of europe, silvia muñoz solano and alexander molina lópez voted.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kwa kawaida, global voices imekuwa na jumuiya imara ya waandishi wanaojitolea, watafsiri, na wahariri wanaoishi katika mji mkuu wa cairo.

İngilizce

traditionally, global voices has had a strong community of volunteer authors, translators, and editors living around the cairo metropolitan area.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kwa kuongeza, mji mkuu wa antananrivo na majiji mengine yamekuwa yakikabiliwa na ukosefu wa maji na nishati ya umeme mambo yaliyochochea vurugu na ghadhabu miongoni mwa raia wa malagasi.

İngilizce

additionally, the capital city antananarivo and other cities are currently experiencing frequent running water and power outages that have provoked frustration and outrage among malagasy citizens.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

mlipuko wa homa ya ebola umeua watu wasiopungua 59 nchini guinea na matukio kadhaa yanayohofiwa kuwa ya homa hiyo yamekaribia kwenye mjini mkuu conakry hiyo ikimaanisha kuwa ugonjwa huo unaweza kuenea kwenye mji mkuu wa guinea.

İngilizce

an ebola outbreak killed at least 59 people in guinea and a few suspected cases near the capital conakry suggest that it may have spread to the guinean capital.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kiongozi wa upinzani nchini uganda dk.kiiza besigye alikamatwa tena katika mji mkuu wa kampala kutokana na kushiriki kwake katika kampeni yakutembea kwenda kazini usiku mmoja baada ya kuachiwa huru kwa dhamana.

İngilizce

this post is part of our special coverage uganda: walk to work protests. uganda opposition leader dr.kiiza besigye was re-arrested in the capital kampala for participating in the walk to work campaign one night after he was granted bail.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

alimou sow, ni mwanablogu wa guinea, aliyeamua kula pizza akiwa na mke wake pamoja na baadhi ya marafiki zake katika mgahawa mdogo ulioko pembezoni mwa conakry, mji mkuu wa guinea.

İngilizce

alimou sow, a guinean blogger, decided to eat some pizza with his wife and some friends at a small restaurant in the upper suburbs of conakry, guinée's capital.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

ingawa siku hiyo itasherehekewa kote ulimwenguni, madrid, mji mkuu wa hispania, umechaguliwa kuwa wenyeji wa tamasha kubwa la kusherehekea siku ya kimataifa ya kwanza ya nelson mandela, na bb king anatarajiwa kutumbuiza.

İngilizce

although the day will be celebrated worldwide, madrid, in spain has been chosen as the host of the first official nelson mandela international day celebration concert, at which bb king is billed to perform.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

@usembassykrt: upatikanaji wa intanenti na pengine simu za mkononi zinaweza kuwa na matatizo ya upatikanaji au kutokupatikana kabisa nchini humu kufuatia upinzani wa umma dhidi ya serikali na maandamano yanayoendelea katika mji mkuu wa nchi hii.

İngilizce

@usembassykrt: internet access and possibly cell phones may be disrupted or limited in sudan due to the protests and demonstrations in the capital city.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

mashirika ya afya wuhan, uchina (mji mkuu wa mkoa wa hubei) waliripoti visa vya mchochota wa pafu zisizo na chanzo inayojulikana tarehe 31 january 2019, na uchunguzi ulianzishwa mwanzo wa january 2020.

İngilizce

health authorities in wuhan, china (the capital of hubei province) reported a cluster of pneumonia cases of unknown cause on 31 december 2019, and an investigation was launched in early january 2020.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

wanafunzi wawili, jorge alexis herrera pino na gabriel echeverría de jesús, waliuwawatarehe 12 desemba 2011, wakati wa maandamano ya wanafunzi wa shule ya vijijini ya raúl isidro huko ayotzinapa, mji mkuu wa guerrero, chilpancingo, nchini mexico.

İngilizce

two students, jorge alexis herrera pino and gabriel echeverría de jesús, were killed on december 12, 2011, during a protest held by students of the rural school raúl isidro burgos in ayotzinapa, chilpancingo, the capital of the state of guerrero, mexico.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

crisis commons, mtandao wa wataalamu wa teknolojia ambo hutengeneza zana kwa ajili ya misaada ya dharura, imetangaza kuwa inaendesha mradi unaofanana ambao unaweka kwenye ramani jitihada zote za usambazaji misaada na kutengeneza ramani maalum ya janga inayoonyesha mahitaji ya mji mkuu wa haiti, port au prince, ili kuyawezesha mashirika ya misaada kuitumia ramani hiyo kama nyenzo ya kufanyia mipango.

İngilizce

crisis commons, a network of technology professionals that creates tools for humanitarian relief response, has announced that it has undertaken a similar project to map relief efforts and to generate a crisis-specific baseline map of haiti’s capital, port-au-prince, for relief agencies to use as planning reference.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

​ni jioni, wageni wanne wanaoingia katika hoteli ya the seamount katika mji mkuu wa gambia " banjul hakuna hata mmoja wao anayejua wengine watatu wa kwanza kuingia ni 609 karanja kimani, profesa katika taasisi ya maendeleo katika chuo kikuu cha nairobi, kenya. ameweka chumba kwenye ghorofa ya nne, upande wa mashariki. ngobile melusi, karibu 70, mwenzake na raia wa zimbabwe wa pili kuingia na anatengewa chumba kwenye ghorofa ya tano ya mrengo wa kusini. tatu kwa saa ni kama 50, chineke chi

İngilizce

​it is evening, four strangcrs check in at the seamount hotel in gambia's capital" banjul none of them knows the other three first to check in is about 609 karanja kimani, a professor in the institute of development at the university of nairobi, kenya. he's assigned a room on the fourth floor, east wing. ngobile melusi, about 70, a comrade and a citizen of zimbabweis second to check in and is allocated a room on the fifth floor of the south wing. third to clock in is about 50, chineke chi

Son Güncelleme: 2024-02-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Daha iyi çeviri için
7,792,638,847 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam