Şunu aradınız:: na ambae sio tu atanipenda mimi (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

na ambae sio tu atanipenda mimi

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

kwa hiyo, sio tu kifo cha mama yangu kilichonivunja moyo, lakini pia na mtazamo wa watu nilioishi nao toka utotoni.

İngilizce

so it’s not only the loss of my mom that broke my heart, it’s also the attitude of the people that i was growing up with.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

sio tu kuhusu kupoteza ardhi na bahari yao, lakini ni kuhusiana na kujenga matabaka na huku ukichukulia maisha yenyewe yanavyokuwa katika hatari.

İngilizce

it is not just about losing their land and sea, but it is about the creation of spaces where life itself is in danger.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kama matokeo ya janga hili la virusi vya korona, ubaguzi wa wageni umeongezeka katika nchi nyingi, kimsingi lakini sio tu unaowalenga watu wanaochukuliwa kuwa wachina.

İngilizce

as a result of the coronavirus pandemic, xenophobia has risen in many countries, primarily but not exclusively targeting people perceived to be chinese.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

@themacharia: nashindwa kuelewa, ni kampuni ngapi kati ya hizo huwalipa intani? je, ni ngapi wamewaajiri intani na sio tu kuwachagua?

İngilizce

@themacharia: i wonder how many of those on #payinterns have actually hired, not selected, but hired interns.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kwa kukiri, kwa kizazi cha sasa, wapo wanawake wengi ambao sio tu kuwa hawazingatii mambo ya kimaadili, bali pia hawazingatii mambo muhimu ya msingi kuhusiana na afya zao.

İngilizce

regrettably, in our modern society there are so many women who do not consider not only the morals aspects of abortions, but even the elementary of their own health.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

katika kuku, virusi vya mkamba vya kuambukiza (ibv), virusi vya korona, hulenga sio tu mfumo wa kupumia, lakini pia mfumo wa mkojo.

İngilizce

in chickens, the infectious bronchitis virus (ibv), a coronavirus, targets not only the respiratory tract but also the urogenital tract.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

mama – sio tu neno lingine lolote katika kamusi. inajumuisha hisia mbalimbali – upendo, uvumilivu, uaminifu, na mengi zaidi. kote ulimwenguni, bila kujali nchi au eneo, watoto wana mapenzi maalum kwa mama zao. mama sio tu anazaa watoto wake, lakini pia huunda akili zao, utu wao, na kujiamini kwao. na wakati wa kufanya hivyo, akina mama hujitolea bila ubinafsi mahitaji na matarajio yao binafsi.

İngilizce

mother – is not just any other word in the dictionary. it encompasses a whole range of emotions – love, patience, trust, and a lot more. across the world, irrespective of country or region, children have a special affection for their mothers. a mother not only gives birth to her children, but also shapes their mind, their personality, and their self confidence. and while doing so, mothers selflessly sacrifice their own personal needs and aspirations.

Son Güncelleme: 2022-06-20
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Benzerlik derecesi düşük bazı insan çevirileri gizlendi.
Benzerlik derecesi düşük olan sonuçları göster.

Daha iyi çeviri için
7,788,056,629 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam