İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
afrika ya kusini: dakika 67 za mabadikio - siku ya mandela
south africa: 67 minutes of change – mandela day · global voices
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kwenye mtandao wa flickr, georgia popplewell aliposti picha ya mandela, akibainisha:
on flickr, georgia popplewell posted a photo of mandela, noting:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mwanablogu katika hope blog anasema kwamba tuamue kuifanya siku ya mandela kuwa siku ya mapumziko:
a blogger at hope blog says that we should not consider mandela day a holiday:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
hivi ndivyo wafanyakazi wa mashambani huko stellenbosch, afrika ya kusini, watakavyoienzi siku ya mandela:
this is how farm workers in stellenbosch, south africa, will honor mandela day:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
tutakuwa tukisherehekea siku ya mandela siku ya jumapili pale kwenye zoo ya lake na tutakuwa tukisaidia kufanya usafi katika jumuiya yetu!
who's joining us at chris hani bara tomorrow @08h30 for the 67min mandela day clean up campaign? #teampssono
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
"kiongozi" yeyote wa naijeria atakayeonekana kumwaga machozi ya mamba kwa ajili ya mandela alazima afungwe miaka 14 katika jela ya kirikiri
any nigerian "leader" caught weeping crocodile tears over mandela should be sentenced to 14 years breaking rocks in kirikiri . @asiwajutinubu — lord of the gourds (@ikhide) december 6, 2013
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
jeremiah kutoka katika studio ya granite atoa maoni yake kwenye televisheni ya taifa ya china, cctv akitaka kuonesha uhusiano uliokuwepo kati ya mandela na mao zedong:
jeremiah from jotting in the granite studio comments on the china's state broadcaster cctv's attempt to draw the link between mandela and mao zedong:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
je, nani atajiunga na sisi pale chris hani bara kesho saa @02h30 asubuhi kwa muda wa dakika 67 katika siku ya mandela katika kampeni ya kufanya usafi?
who's joining us at chris hani bara tomorrow @08h30 for the 67min mandela day clean up campaign?
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
halmashauri ya jiji la firenze imejitolea kusaidia siku ya mandela na kuhamasisha raia wa florence kujihusisha katika vuguvugu hili la ulimwengu kwa ajili ya kutenda wema kwa kutia sahihi katika makubaliano yanayounga mkono kuwepo kwa siku ya mandela.
the firenze city council has committed to supporting mandela day and encourages all citizens of florence to get involved in the global movement for good by signing a resolution in support of mandela day.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
nchini italia, halmashauri ya jiji la firenze, kwa kushirikiana na jukwaa la mandela, wameandaa onyesho la picha za video kuhusu mandela, sinema na siku ya mandela, vyote hivyo vitarushwa katika jukwaa la mandela na vilevile katika eneo la wazi la kuonyeshea sinema la florence.
in italy, the firenze city council, in conjunction with the mandela forum, have arranged for a video about mr mandela, the movie invictus and mandela day, to be aired at the mandela forum as well as at an open air cinema in florence.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mnamo mwaka 2009, mafanikio ya kampeni na sherehe hizo za 46664 zilipiga hatua ya juu zaidi na kuwa kile kinachofahamika kama “mandela day”,yaani "siku ya mandela", ambayo ni siku wanayotumia watu kila mahali duniani kutoa dakika 67 kwa ajili ya kupafanya duniani kuwa mahali bora zaidi pa kuishi.
in 2009, the success of the 46664 campaigns and celebrations evolved to what is now known as “mandela day”, a day in which people around the world dedicate 67 minutes to making the world a better place for all.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
Benzerlik derecesi düşük bazı insan çevirileri gizlendi.
Benzerlik derecesi düşük olan sonuçları göster.