Şunu aradınız:: nilifikiri (Svahili - İngilizce)

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

nilifikiri

İngilizce

i thought

Son Güncelleme: 2014-03-09
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

nilishapoteza tumaini la kuwa siku moja nitarudi tena shuleni, na nilifikiri kuwa mwimbaji badala yake.

İngilizce

i have lost hope that i might still go back to school, and i thought to myself that i would be a singer instead.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

mwanzoni nilifikiri anataka kuteka gari, au alitaka kunifanya nijisikie wasiwasi kwa kuingia kwenye gari?

İngilizce

i initially thought he wanted to do a carjacking, or was he just trying to make me uncomfortable by getting into the car?

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

akawa na hasira na akaanza kunipigia kelele kwamba kwa nini nilifikiri bei ingepungua –aliniambia bei na alitegemea ningetakiwa kuikubali na blah blah blah.

İngilizce

he got angry and started screaming at me that why would i assume the price could change - he told me the price and i should have accepted it and blah blah blah.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

miaka minane iliyopita, nilimpigia kura ralph nader kwa sababu nilifikiri kuwa hapakuwa na tofauti kubwa kati ya vyama vya democrat an republicanm kwenye masuala muhimu.

İngilizce

eight years ago, i voted for ralph nader because i thought there really wasn’t much of a difference between democrats and republicans on the major issues.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

nilipokuwa mtoto mchanga nilisema kitoto, nilifahamu kitoto, nilifikiri kitoto. lakini sasa, maadam mimi ni mtu mzima, mambo ya kitoto nimeyaacha.

İngilizce

when i was a child, i spake as a child, i understood as a child, i thought as a child: but when i became a man, i put away childish things.

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kila mmoja anaonekana kusema ah alikufa akiwa bado kijana wa miaka 50, na nilifikiri pia kwamba katika uganda wastani wa umri wa kuishi ni miaka 50. je unajua kuwa katika afrika kufa kwa uzee ni historia?

İngilizce

everyone seemed to say oh he died young at 50, and then i thought that actually in uganda life expectancy is at 50. do you know in many african countries dying of old age is almost history?

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

@usiful_me: kwa hiyo, itakuwa nilifikiri tu kwamba nilikuwa karibu na mtu aliyepigwa risasi ya mpira mguuni na mwingine aliyetupwa kwenye gari dogo la wazi lililokuwa kwenye mwendo

İngilizce

@usiful_me: then, i must have imagined being close by guy being shot in leg by rubber bullet & another thrown off moving pick-up

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

the paranoid style in american politics na richard hoftasadter , niliposoma jina la kitabu nilifikiri kuwa mambo yaliyoandikwa yamelenga hasa wasomaji wa marekani, nakumbuka kuwa ilinichukua muda kidogo, nilisita kidogo, na ndipo nikauliza bei gani?

İngilizce

the paranoid style in american politics by richard hoftasadter , when reading the title i first thought that the issue s discussed in the book will be mainly addressed to the american reader , i remember taht i took a moment , hesitated for a while , and then asked how much ?

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kuanzia sekunde za mwanzo za pambano la kwanza kabisa la kombe la mabara ambalo nililiangalia mwaka huu, new zealand dhidi ya hispania, nilifikiri, “ni kelele gani ile?” na haraka nikaichuja.

İngilizce

from the very first seconds of the very first confederations cup match that i watched this year, new zealand v spain, i thought, "what is that interesting sound?" and then promptly filtered it out.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Daha iyi çeviri için
7,790,237,217 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam