Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
watu wengi nchini kote wameganda kwenye luninga zao wakati vipande vya habari vinavyoonesha tsunami lenye urefu wa zaidi ya mita 7 kwenda juu likisomba magari na majengo.
people across the country are glued to their tv screens as scenes of a tsunami measuring more than 7 meters in height sweeping away cars and buildings flashes across the news.
wamejifunza kwa makosa waliowahi kuyafanya: wametoa tahadhari ya kutokea tsunami, na kushauri watu kuondoka maeneo yenye hatari na tayari jeshi liko mtaani.
they learned from their mistakes: tsunami alert, evacuation and the army to the streets.
mawimbi ya tsunami yaliwasili la punta callao saa 2:31 jioni., ica saa 1:39, tacna na kwa mji wa moquegua hayo ndiyo yanawasili.
tsunami waves arrive to la punta callao at 8:31 p.m., ica at 7:39, tacna and moquegua already arriving.
posti ya kwanza ya blogu iliyoandikwa kwa lugha ya kifaransa kuhusu tetemeko la ardhi huko haiti imetokea nje ya nchi hiyo, ikitangaza habari mbaya za kuanguka kwa kasri ya rais, hospitali na majengo mengine na pia tishio la tsunami.
the first blog posts written in french about the earthquake in haiti have come from outside the country, announcing terrible news of the presidential palace , a hospital and other buildings collapsing and also of the threat of a tsunami.
baada ya tukio la tsunami la asia ya kusini mashariki mwaka 2004, kulikuwa na watoto wengi wadogo wasiotambulika, na bado asilimia kubwa ya watoto hao, shukrani kwa vipimo vya vinasaba (dna) na njia nyingine, walirudishwa kwenye familia zao.
after the southeast asian tsunami in 2004, there were many small kids virtually unidentifiable, and yet a very high percentage of those children, thanks to dna testing and other methods, were eventually returned to family members.