Şunu aradınız:: waghana (Svahili - İngilizce)

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

waghana

İngilizce

waghana

Son Güncelleme: 2021-06-12
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

je waghana wamelipokeaje wazo hilo?

İngilizce

have ghanaians even welcomed the idea?

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

pamoja na hilo, swali moja lilikuwa mbele zaidi ya akili za waghana.

İngilizce

with that, one question was foremost on many ghanaian minds.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

hawazimiliki tena nyumba hizo? hii ndiyo sababu ya kusisimka kwa waghana kublogu.

İngilizce

they don't own those anymore?this is why i'm excited about ghanaians blogging.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

itakuwa ni jambo la ajabu kuiruhusu npp ambayo imekataliwa na waghana kutuambia kile tunachopaswa kufanya.

İngilizce

it would be out of place to allow the npp that has been rejected by ghanaians to tell us what we should do.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

mwaka 2008, wakati wa uchaguzi wa rais, wagombea waliwaahidi waghana kuwa wangeitazama tena katiba ya nchi hiyo.

İngilizce

in 2008, during the presidential elections, candidates promised ghanaians a review of the nation’s constitution.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kutokana na ripoti ni wazi kuwa waghana wapo tayari kujihusisha katika mchakato unaokua wa demokrasi wa taifa hili tangu katiba yake ilipoanza mwaka 1993.

İngilizce

it is apparent from reports that ghanaians are more eager to engage in the burgeoning democratic process of the nation since its constitution commenced in 1993.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

nimefuatlia harakati za aad na nimehitimisha kwamba mwelekeo wao wa msimamo na uelewa katika masuala ya kitaifa lazima yaungwe mkono na waghana wote wenye nia njema.

İngilizce

i have monitored the activities of aad and have come to the conclusion that their sense of objectivity and insight in national issues must be commended by all well meaning ghanaians.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

waghana wengi wanaweza hata kuamini, n ani sawa tu, kwamba rawlings ana zaidi ya majumba mawili makubwa ambayo wamepata shida kukubali kwamba wanayo.

İngilizce

many ghanaians would even believe, and rightly so, that the rawlings have more than the two mansions they have struggled to admit they have.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

katika soko la kitaalii la mjini accra, fulana za obama na michoro zinauzwa haraka kutoka kwenye safu na waghana wanategema kupanda kwa biashara ya utalii baada ya ziara.

İngilizce

at accra's tourist market, obama t-shirts and paintings are flying off the shelves and ghanaians are hoping for a boost in tourism after the visit.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

itakuwa vibaya kwa npp kutuambia nini cha kufanya baada ya kukataliwa na ikiwa watunga sheria wote wa chama na wengine wamefikia kutambua kumwacha rais mills afahamu hisia za wanachama na waghana, basi ni vyema kwetu.

İngilizce

it will be bad for the npp to tell us what to do after they have been rejected and if all party legislators and others have come to the realization to let president mills know about the feelings of party members and ghanaians, it is good for us.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

jambo lililoifanya ahadi hii kuonekana kama ni ya kweli lilikuwa ni nia ya wagombea – pamoja na rais john atta mills – ya kuwashirikisha waghana katika mchakato huo wa kuitathmini katiba.

İngilizce

what made this pledge more appealing was the contenders’ - president john atta mills included - intention to involve ghanaians in the review process.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

karibu kila kitu alichosema bi. rawlings katika mahojiano yale kilionekana kulenga kuwarubuni waghana wafikirie kuwa familia yake imo kwenye hali mbaya na kulazimisha mkono wa serikali kupandisha dau lake, huku akijua fika kuwa amekataa serikali kila dau la makazi mbadala lilitolewa na serikali.

İngilizce

almost everything mrs. rawlings said in that interview seemed calculated to deceive ghanaians into thinking that her family was in a very dire situation and to force the hand of government to do her bidding, knowing very well that she had rejected government offers of alternative accommodation.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Daha iyi çeviri için
7,793,247,063 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam