İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaotumikia bado katika hema la wayahudi, hawana haki ya kula vitu vyake.
we have an altar, whereof they have no right to eat which serve the tabernacle.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
wakati ambapo uchunguzi wa mauaji hayo unaendelea, bila shaka jicho litaendelea kutupwa wa waislamu wanaotumikia jeshi.
as the investigation of the massacre continues, the spotlight on muslims serving in the army will likely continue.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
katika waliofungwa ni pamoja waandishi wawili wa sweden wanaotumikia kifungo cha miaka 11 kwa kudaiwa kukisaidia kikundi cha waasi wa kabila cha kisomali.
among those jailed are two swedish journalists who are serving an 11-year sentence for allegedly supporting an ethnic somali rebel group.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
je, kuna tofauti kati ya wanawake wanaotumikia kifungo kwenye magereza (ya mafunzo) na wale wanaoishi nje?
is there a difference between mothers serving terms in correctional facilities and those outside?
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
je, hamjui kwamba wanaotumikia hekaluni hupata chakula chao hekaluni, na kwamba wanaotolea sadaka madhabahuni hupata sehemu ya hiyo sadaka?
do ye not know that they which minister about holy things live of the things of the temple? and they which wait at the alter are partakers with the alter?
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
magazeti mengi hivi sasa yanachunguza ni kwa namna gani vitendo vya hassan vitawaathiri waislamu wanaotumikia katika jeshi la marekani, na wakazi waislamu wanaoishi karibu na kambi ya fort hood.
a number of newspapers are now examining how major hasan's actions will affect muslims serving the in us army, and muslim residents around fort hood.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mama yake alaa, leila soueif, anaonekana, kulia, akibeba bango lenye majina ya wafungwa wanne wanaotumikia vifungo vyao kwa sababu ya kesi ya shura.
alaa's mother, leila soueif, is seen, right, carrying a poster bearing the names of the four prisoners still jailed by the regime from the shura case.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: