İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
wanaharakati wengine watatu wa femen, wafaransa wawili na mjerumani mmoja pia wanatarajiwa kujibu mashtaka juni 5.
three other femen activists, two french and one german are also set to stand trial on june 5.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
wanadiplomasia wa kihindi wanatarajiwa kukutana na wenzao wa australia kwa ajili ya mazungumzo ya kutatua tatizo hili huko canberra leo kufuatia kifo cha muhamiaji wa kihindi mjini melbourne.
indian diplomats are expected to meet their australian counterparts for crisis talks in canberra today following the murder of an indian migrant in melbourne.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kama muislamu, ninajua kuwa qur’an inahubiri uadilifu katika kufanya mapenzi kwa wanaume na wanawake, lakini kushupaliwa huku kwa wanawake na wahafidhina kunamaanisha kuwa ni wanawake tu ambao wanatarajiwa kuzingatia makatazo juu ngono nje ya ndoa.
as a muslim, i know the qur’an preaches chastity for men and women, but the conservative obsession with women means only females are expected to abide by the prohibition on extramarital sex.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
daudi oliveira de souza, daktari na profesa wa taasisi ya utafiti wa hospitali ya sirio-libanés, alituma barua ya wazi kwa madaktari zaidi ya mia nne wa cuba ambao hivi karibuni waliwasili nchini brazil wanaoanzisha kundi la kwanza la jumla ya madaktari 400 ambao wanatarajiwa kuja nchi hii kabla ya desemba mwaka huu.
david oliveira de souza, a doctor and professor from the research institute of the sirio-libanés hospital, sent an open letter to the more than four hundred cuban doctors who recently arrived in brazil and who constitute the first group of a total of 4,000 physicians who are expected to come to this country before december of this year.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: