İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
mamia ya wa-thai hivi karibuni yalitumia salamu hiyo kwenye mazishi ya naibu spika wa zamani apiwan wiriyachai, kwa kumsalimia yingluck shinawatra kwa ishara hiyo, alipowasili kutoa heshima zake za mwisho.
hundreds of thais recently used the salute at the cremation ceremony for former deputy house speaker apiwan wiriyachai, greeting yingluck shinawatra with the three fingers, when she arrived to pay her respects.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
katika picha inayofanana na filamu za hollywood, watu waliohudhuria zoezi la uchomaji wa mwili wa aliyekuwa naibu spika wa thailand apiwan wiriyachai walionesha ishara ya vidole vitatu kumsalimia waziri mkuu wa nchi hiyo yingluck shinawatra, katika kile kinachoonekana kuwa ni ujumbe mpya wa matumaini kwa nchi ya thailand.
in an image resonant of a hollywood movie, attendees at the cremation of former deputy house speaker apiwan wiriyachai held up the three-finger salute to the former prime minister of the country yingluck shinawatra, in what could be seen as a silent message of hope for thailand.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: