Şunu aradınız:: zaidi kutoka: domain (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

zaidi kutoka: domain

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

tarehe 15 januari 2020, kisa cha kwanza kibaya zaidi kutoka wuhani kiliripotiwa.

İngilizce

on january 15, 2020 the first fatal case from wuhan was reported.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

habari hizo ziliamsha maoni mengi na hata maswali zaidi kutoka kila pembe ya afrika kusini.

İngilizce

the saga elicited many opinions and even further questions from all corners of south africa.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hata hivyo, watu waliojaa udadisi wanatiririka na tunatumaini kupata watu zaidi kutoka maeneo ya kusini mashariki ya asia wakati ujao.

İngilizce

still, curious people are trickling in and we hope to have more people from the wider south east asian region the next time.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

@lames7: maoni mazuri zaidi kutoka kwa nablus: “kama huwezi kuwatetea masikini, basi haupo kuwatetea wafungwa vile vile; tafadhali tuambie ni kwa nini bado uko madarakani!”

İngilizce

the nicest comment from nablus: "if you are not standing with the poor then you are not standing with the prisoners either; please explain to us why are you still in power!"

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

endapo uendelezaji wa shughuli za kilimo utapungua kwa sababu ya uhaba wa maji, watu wengi zaidi kutoka maeneo ya vijijini watatiririka kwenda el alto kujitafutia maisha, ambapo watakumbana na tatizo lile lile la uhaba wa maji na papo hapo wakiongeza mahitaji ya maji.

İngilizce

if sustainable agricultural activities decrease because of the lack of water, many more rural residents may seek opportunities in el alto, where they may face similar water shortages, while raising demand.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kwa udhibiti wa maambukizi yanayosababishwa na bakteria katika hospitali, imegunduliwa kuwa faida kubwa zaidi kutoka kuosha mikono ilitokea katika 20% ya kwanza ya kuosha, na kuwa faida duni ilipatikana wakati kiwango cha kuosha mikono kiliongezwa zaidi ya 35%.

İngilizce

for control of staphylococcal infections in hospitals, it has been found that the greatest benefit from hand-cleansing came from the first 20% of washing, and that very little additional benefit was gained when hand cleansing frequency was increased beyond 35%.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

matokeo mema zaidi ni kuwa, viwango vya hali ya wagonjwa wenye dalili kuwa mbaya zaidi (kutoka kwa hali hafifu hadi mbaya zaidi) ilipungua pakubwa kwa kikundi cha wm+tcm kuliko kwa kikundi cha wm pekee (7.4% dhidi ya 46.2%) na viwango vya vifo vilipungua katika kikundi cha wm+tcm kuliko kikundi cha wm pekee (8.8% dhidi ya 39%).

İngilizce

most impressively, the rate for symptomatic worsening (from light to severe) was remarkably lower for the wm+tcm group than for the wm only group (7.4% versus 46.2%) and the mortality was lower in the wm+tcm group than wm only group (8.8% versus 39%).

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Benzerlik derecesi düşük bazı insan çevirileri gizlendi.
Benzerlik derecesi düşük olan sonuçları göster.

Daha iyi çeviri için
8,035,912,981 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam