İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
all these evil things come from within, and defile the man.
maovu hayo yote yatoka ndani ya mtu, nayo humtia mtu najisi."
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
likewise also these filthy dreamers defile the flesh, despise dominion, and speak evil of dignities.
hivyo ndivyo pia walivyo watu hawa. ndoto zao huwaongoza katika kuichafua miili yao wenyewe, kuyadharau mamlaka ya mungu na kuvitukana viumbe vitukufu vya huko juu.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
but those things which proceed out of the mouth come forth from the heart; and they defile the man.
lakini yale yatokayo kinywani hutoka moyoni, na hayo ndiyo yanayomtia mtu najisi.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
if any man defile the temple of god, him shall god destroy; for the temple of god is holy, which temple ye are.
basi, mtu akiliharibu hekalu la mungu, mungu atamharibu; maana hekalu la mungu ni takatifu, na hekalu hilo ni ninyi wenyewe.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
and proclaim thou among mankind the pilgrimage; they shall come unto thee on foot and on any lean mount, coming from every deep defile.
na watangazie watu hija; watakujia kwa miguu na juu ya kila ngamia aliye konda, wakija kutoka katika kila njia ya mbali.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
there is nothing from without a man, that entering into him can defile him: but the things which come out of him, those are they that defile the man.
hakuna kitu kinachoingia ndani ya mtu toka nje ambacho chaweza kumtia mtu najisi. lakini kinachotoka ndani ya mtu ndicho kinachomtia mtu najisi."
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
and he saith unto them, are ye so without understanding also? do ye not perceive, that whatsoever thing from without entereth into the man, it cannot defile him;
naye akawaambia, "je, hata ninyi hamwelewi? je, hamwelewi kwamba kitu kinachomwingia mtu toka nje hakiwezi kumtia unajisi,
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
for whoremongers, for them that defile themselves with mankind, for menstealers, for liars, for perjured persons, and if there be any other thing that is contrary to sound doctrine;
sheria imewekwa kwa ajili ya waasherati, wafiraji, wanaowaiba watu, waongo, na wanaoapa uongo au wanaofanya chochote ambacho ni kinyume cha mafundisho ya kweli.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: