Şunu aradınız:: desperate (İngilizce - Svahili)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

English

Swahili

Bilgi

English

desperate

Swahili

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

the people today were sad, desperate and gray.

Svahili

watu wa leo wamekuwa na huzuni, waliokata tamaa na wanyonge.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

the situation is dire but not desperate, at least not yet.

Svahili

hali ni tete, pamoja na kuwa haijafikia kiwango cha kukatisha tamaa.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

it was a desperate, high-risk gamble by shabaab to reverse its prospects.

Svahili

ilikuwa ni karata ya kukata tamaa, isiyo na uhakika iliyochezwa na al-shabaab kujaribu kurudi kwenye malengo yake.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

the first thing that comes to mind is the song the anc is so desperate wants to get unbanned.

Svahili

kitu cha kwanza kinachoingia akilini ni wimbo ambao anc inafanya juu chini usipigwe marufuku.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

man tireth not of praying for good, and if ill toucheth him, then he is disheartened, desperate.

Svahili

mwanaadamu hachoki kuomba dua za kheri, na inapo mpata shari, mara huvunjika moyo akakata tamaa.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

if we let a human taste our mercy and then withhold it from him, he becomes desperate and ungrateful.

Svahili

na tukimwonjesha mtu rehema inayo toka kwetu, kisha tukamwondolea, hukata tamaa akakufuru.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

and if we let a man taste mercy from us, and then we wrest it from him, he is desperate, ungrateful.

Svahili

na tukimwonjesha mtu rehema inayo toka kwetu, kisha tukamwondolea, hukata tamaa akakufuru.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

if we ever favour man with our mercy, and then take it away from him, he becomes utterly desperate, totally ungrateful.

Svahili

na tukimwonjesha mtu rehema inayo toka kwetu, kisha tukamwondolea, hukata tamaa akakufuru.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

mankind never wearies of supplicating for goodness, but when evil befalls him he is downcast and (grows) desperate.

Svahili

mwanaadamu hachoki kuomba dua za kheri, na inapo mpata shari, mara huvunjika moyo akakata tamaa.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

is he [not best] who responds to the desperate one when he calls upon him and removes evil and makes you inheritors of the earth?

Svahili

au nani yule anaye mjibu mwenye shida pale anapo mwomba, na akaiondoa dhiki, na akakufanyeni warithi wa ardhi? je!

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

the u.n. soldiers ignored their desperate pleas not to leave them at the mercy of a menacing crowd of government soldiers and armed militia that surrounded them outside the gates of the school.

Svahili

askari wa umoja wa mataifa walipuuzia kubembeleza kwao ili wasiondoke na kuwaacha mikononi mwa makundi ya askari wa serikali na wanamgambo wenye silaha waliokuwa wamewazingira nje ya milango ya shule walipokimbilia.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

dominican blogger jose sille’ claims, also via twitter, that cesfront, the dominican border patrol, is beginning to encounter haitians desperate to flee the country.

Svahili

mwanablogu wa ki-dominika, jose sille, anaeleza, pia kupitia twita, kwamba cesfront, kitengo cha kulinda mpaka wa dominika, kimeanza kukabiliana na mmiminiko wa raia wa haiti wanaojaribu kuikimbia nchi yao.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

it's got it's own president, government, and they do not need people there. @aessameldin: gamal mubarak will star in prison break's new season, and his wife khadija will join desperate house wives crew.

Svahili

lina rais wake, serikali yake na kwa hakika hawataki kuwa na watawaliwa pale. @aessameldin: gamal mubarak atakuwa nyota katika (filamu ya) kujaribu kutoroka gerezani, na mkewe khadija atajiunga na timu ya wapiga picha wa (filamu ya) wake wasio na matumaini.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
7,742,540,245 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam