İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
ahsan lists four more provocative questions which you can read here.
ahsan anaorodhesha maswali manne ya kufikirisha zaidi ambayo unaweza kuyasoma hapa.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
4000 children in northern #uganda are defiled annually, i bet #kibuule thinks its because they were provocative!
watoto 4000 kaskazini mwa uganda wananajisiwa kila mwaka. nina hakika kibuule anadhani ni kwa sababu watoto hao walivaa vibaya!
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
in saltz's case, the images were provocative and deemed to be pornographic, according to the new york times' artsbeat blog.
kwa kilichomkuta saltz, michoro ilisemekana kuwa na taswira ya ngono, kwa mujibu wa blogu ya new york times inayoitwa artsbeat.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
the link between julius malema's provocative statements and the murder of eugnene terre'blanche is a consistent theme when looking at the list of blog posts on the subject.
uhusiano baina ya matamko ya kichokozi ya julius malema na mauaji ya eugnene terre'blanche ni majadala wa kudumu hasa ukiangalia makala husika katika blogu.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
a day after a tiny news items titled, "saudi arabia 'seeking pakistani arms for syrian rebels" appeared in pakistani newspapers, political blogger ahsan butt posts a provocative piece warning pakistan's foreign policymakers against tiptoeing into syria's affairs.
siku moja baada ya dondoo ndogo ya habari yenye kichwa cha habari, "saudi arabia 'inatafuta uungwaji mkono kwa waasi wa" ilipoonekana kwenye magazeti ya pakistani, mwanablogu wa siasa ahsan butt aliposti tahadhari kali kwa watunga sera ya mambo ya kimataifa wa nchi ya pakstani kuachana na mambo ya ndani ya syria.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor