İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
i make mats but always sleep on the floor
nasuka mikeka lakini siku zote nalala chini
Son Güncelleme: 2023-09-26
Kullanım Sıklığı: 2
Kalite:
some people sleep on the floor on the street,
watu wengine hulaaniana, huuana kwenye sakafu za mitaani,
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
some are languishing on the floor.
wengine wao wanaendelea kuangamia huku wamejilaza kwenye sakafu.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
i was on the floor, smashed by other bodies.
nilikuwa sakafuni, nimekandamizwa na miili mingine.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
patients on the floor of mulago hospital, the national referral hospital.
wagonjwa wakiwa wamekaa chini katika hospitali ya rufaa ya taifa ya mulaago.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
he was forced to lay on the floor while interrogators stomped on his back, neck and face.
alilazimishwa kulala sakafuni huku waliokuwa wakimhoji wakimkanyaga mgongoni mwake, kwenye shingo na usoni.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
devastated, some relatives fell on the floor after being informed of the execution of pilot moaz kasabeh.
wakifadhaishwa, baadhi ya ndugu zake walianguka chini mara baada ya kupata taarifa za kuuawa kwa rubani moaz kasabeh.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
chaos soon ensued on the floor as other opposition mps rushed to form a human shield around mr mbowe to prevent the security men from throwing him out.
punde, machafuko yalianza mara baada ya wabunge wengine wa upinzani kwenda kumkinga kwa kumzunguka bwana mbowe ili kuzuia maafisa wa usalama wa bunge wasimtoe mbowe bungeni.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
she had been employed by the wealthy and influential former president of lahore's bar association, and for a generous $8 a month she cleaned her employer's toilets, the cars that filled their suburban garage, and the filth that collected on the floors of their home.”
binti huyu alikuwa ameajiriwa na mtu tajiri na mwenye uwezo mkubwa aliyewahi kuwa rais wa chama cha wanasheria, na binti huyu alichokuwa akilipwa ni dola 8 tu kwa mwezi huku baadhi ya majukumu yake yakiwa ni kusafisha choo, magari yaliyokuwa ayakiegeshwa hapo katika nyumba iliyo pembezoni kidogo mwa mji, pamoja na kuondoa taka zote katika nyumba hiyo ya ghorofa."
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor