Şunu aradınız:: transparency (İngilizce - Svahili)

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

transparency

Svahili

uwazi

Son Güncelleme: 2012-11-26
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

lack of transparency and accountability

Svahili

transparency is directly related to our relationship with accountability

Son Güncelleme: 2023-09-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

others criticized the lack of transparency on procedures of government ministries.

Svahili

wengine walikosoa kukosekana kwa uwazi kwa yale yanayofanywa na wizara za serikali.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

more and more people are demanding transparency from their governments and leaderships.

Svahili

watu wanazidi kudai uwazi kwa uongozi wa serikali zao.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

do you know other women working in the fields of technology and transparency?

Svahili

je, unawafahamu wanawake wengine wanaofanya kazi katika maeneo ya teknolojia na uwazi?

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

transparency ngos prepare for sunday’s election in venezuela · global voices

Svahili

azise ya uwazi yajiandaa kwa uchaguzi wa jumapili nchini venezuela

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

josie fernandez of transparency international malaysia urged a complete probe of the incident:

Svahili

josie fernandez wa shirika la kimataifa la uwazi malaysia alitoa wito wa uchunguzi wa kina wa ajali hiyo:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

ada lovelace day: celebrating women in technology and transparency worldwide · global voices

Svahili

siku ya ada lovelace: kuwapongeza wanawake wanajishughulisha kupigania teknolojia na uwazi ulimwenguni

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

transparency hackday in são paulo, photo by alexandre fugita used under a creative commons license.

Svahili

siku ya kuingilia kompyuta kwa ajili ya uwazi mjini sao paulo, picha na alexandre fugita, imetumika chini ya idhini ya creative commons

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

also, online social media has proven itself a powerful tool in promoting transparency and fighting against corruption.

Svahili

pia, uanahabari wa kijamii mtandaoni umejidhihirisha kuwa chombo chenye nguvu katika kutangaza uwazi na kupigana dhidi ya rushwa.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

in this post we are looking at how nigerians are using technology to enhance electoral transparency, political participation and good governance.

Svahili

katika makala hii tunatazama namna wanaijeria wanavyotumia teknolojia kuwezesha uwazi katika uchaguzi, ushirikishwaji wa kisiasa na utawala bora.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

according to sources in the chinese media, these transparency measures may help local citizens monitor the spending habits of their government.

Svahili

kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali katika vyombo vya habari vya china, hatua hizi za kuweka mambo wazi huenda zitawasaidia raia kusimamia matumizi yanayofanywa na serikali yao.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

@reclaimnaija is a broad based national platform for popular, grassroots engagement in promoting electoral transparency and democratic government.

Svahili

@reclaimnaija ni jukwaa pana linalojihusisha na ushirikishwaji maarufu wa wananchi wa chini katika kunadi uwazi wakati wa uchaguzi na serikali ya kidemokrasia.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

but good laws and proactive citizens are not enough; tools are also important to enable women around the world to take action and promote transparency.

Svahili

lakini sheria nzuri na raia wanaojituma kudai haki zao bado havitoshi; nyenzo pia ni muhimu ili kuwawezesha wanawake sehemu mbalimbali duniani kuchukua hatua ili kuhamasisha uwazi.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

article 19 "notes concern that existing measures designed to ensure government transparency are not being effectively implemented" the organization said.

Svahili

ibara ya 19 "inabaisha wasiwasi uliopo kwamba hatua zilizopo zimetengenezwa kuhakikisha kuwa uwazi wa serikali hautekelezeki kwa ufanisi" shirika hilo lilisema.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

İngilizce

but there is also reason for optimism in brazil when it comes to transparency and open governance, as paula goés explained a week before anti-corruption day:

Svahili

lakini pia kuna sababu ya matumaini katika brazil kwani inapokuja kwenye uwazi na utawala wazi, kama alivyoeleza paula goes wiki moja kabla ya siku ya kupinga rushwa duniani:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

i would be remiss to not highlight the work of our female researchers and research reviewers who, it must be said, have proven themselves to be the hardest working members of our team on the technology for transparency network.

Svahili

sitakuwa nimetenda haki kama sitataja kazi za watafiti wetu wa kike na watafiti wakosoaji ambao, hatuna budi kusema, wamejidhibitisha kuwa wachapa kazi hodari miongoni mwa wanachama wa timu yetu ya mtandao wa teknolojia wa kutetea uwazi.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

as a researcher for the technology for transparency network, i'm particularly interested in the way that ict can help engage citizens in the governance of their country and encourage governments to be both transparent and accountable.

Svahili

kama mtafiti wa mtandao wa teknolojia ya uwazi, ninavutiwa hasa katika njia ambazo teknolojia ya habari na mawasiliano zinaweza kusaidia kuwashirikisha raia katika utawala wan chi yao na kuhamasisha serikali kuwa na uwazi pamoja na uwajibikaji.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

in iceland, parliamentarian birgitta jónsdóttir is promoting the icelandic modern media initiative, a proposal to create a global safe haven for investigative journalism in iceland that would improve freedom of expression and transparency worldwide by protecting watchdog groups and whistleblowers from libel censorship.

Svahili

kule iceland, mbunge birgitta jónsdóttir anapigia chapuo vuguvugu linalojulikana kama icelandic modern media initiative, ambalo ni pendekezo la mbingu iliyo salama wa ajili ya uandishi wa habari za upelelezi nchini humo, jambo ambalo anaamini kuwa litakuza uhuru wa kujieleza na uwazi ulimwenguni kote kwa kutoa kinga kwa makundi yanayopigia kelele maovu na wanaojitolea kuanika maovu hasa kinga dhidi ya vikwazo vya kudaiwa fidia.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

the following profiles were written and researched by renata avila, the lead of creative commons guatemala, the director of primer palabra, and our researcher for spanish-language latin america on the technology for transparency network.

Svahili

maelezo yafuatayo yaliandikwa na kutafitiwa na renata avila, ambaye ni kiongozi wa creative commons huko guatemala, pia ni mkurugenzi wa primer palabra, na ni mtafiti wetu wa lugha ya kihispania huko latini amerika kuhusu mtandao wa teknolojia wa kutetea uwazi.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
7,747,772,995 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam