您搜索了: desideria (拉丁语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Latin

Swahili

信息

Latin

desideria

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

拉丁语

斯瓦希里语

信息

拉丁语

deponere vos secundum pristinam conversationem veterem hominem qui corrumpitur secundum desideria errori

斯瓦希里语

basi, acheni mwenendo wenu wa awali, yaani ule utu wenu wa kale uliokuwa unaangamizwa kwa tamaa zake danganyifu.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

quia dicebant vobis quoniam in novissimo tempore venient inlusores secundum sua desideria ambulantes impietatu

斯瓦希里语

waliwaambieni: "siku za mwisho zitakapofika, watatokea watu watakaowadhihaki ninyi, watu wafuatao tamaa zao mbaya."

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

拉丁语

erit enim tempus cum sanam doctrinam non sustinebunt sed ad sua desideria coacervabunt sibi magistros prurientes auribu

斯瓦希里语

utakuja wakati ambapo watu hawatasikiliza mafundisho ya kweli, ila watafuata tamaa zao wenyewe na kujikusanyia walimu tele watakaowaambia mambo yale tu ambayo masikio yao yako tayari kusikia.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

hii sunt murmuratores querellosi secundum desideria sua ambulantes et os illorum loquitur superba mirantes personas quaestus caus

斯瓦希里语

watu hawa wananung'unika daima na kuwalaumu watu wengine. hufuata tamaa zao mbaya, hujigamba na kuwasifu watu wengine mno kusudi wafaulu katika mipango yao.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

nam qui volunt divites fieri incidunt in temptationem et laqueum et desideria multa inutilia et nociva quae mergunt homines in interitum et perditione

斯瓦希里语

lakini wale wanaotaka kutajirika huanguka katika majaribu, na kunaswa katika mtego wa tamaa nyingi mbaya za kipumbavu, ambazo huwavuta mpaka kwenye uharibifu na maangamizi.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

vos ex patre diabolo estis et desideria patris vestri vultis facere ille homicida erat ab initio et in veritate non stetit quia non est veritas in eo cum loquitur mendacium ex propriis loquitur quia mendax est et pater eiu

斯瓦希里语

ninyi ni watoto wa baba yenu ibilisi na mnataka tu kutekeleza tamaa za baba yenu. yeye alikuwa muuaji tangu mwanzo; hana msimamo katika ukweli, kwani ukweli haumo ndani yake. kila asemapo uongo, husema kutokana na hali yake ya maumbile, maana yeye ni mwongo na baba wa uongo.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,734,581,809 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認