来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
et exeuntes praedicabant ut paenitentiam ageren
basi, wakaondoka, wakahubiri watu watubu.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
illi autem exeuntes diffamaverunt eum in tota terra ill
lakini wao wakaondoka, wakaeneza habari za yesu katika nchi ile yote.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
exeuntes autem pharisaei consilium faciebant adversus eum quomodo eum perderen
basi, mafarisayo wakatoka nje, wakashauriana jinsi watakavyomwangamiza yesu.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
in quamcumque civitatem intraveritis et non receperint vos exeuntes in plateas eius dicit
lakini mkiingia katika mji wowote, wasipowakaribisheni, tokeni; nanyi mpitapo katika barabara zao semeni:
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
et exeuntes de monumentis post resurrectionem eius venerunt in sanctam civitatem et apparuerunt multi
nao, baada ya kufufuka kwake, wakatoka makaburini, wakaingia katika mji mtakatifu, wakaonekana na watu wengi.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
exeuntes autem invenerunt hominem cyreneum nomine simonem hunc angariaverunt ut tolleret crucem eiu
walipokuwa wakienda, wakamkuta mtu mmoja jina lake simoni, mwenyeji wa kurene, wakamlazimisha kuuchukua msalaba wake yesu.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
exeuntes autem de carcere introierunt ad lydiam et visis fratribus consolati sunt eos et profecti sun
paulo na sila walitoka gerezani, wakaenda nyumbani kwa ludia. huko walionana na ndugu waumini na baada ya kuwatia moyo wakaondoka.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
et quicumque non receperint vos nec audierint vos exeuntes inde excutite pulverem de pedibus vestris in testimonium illi
mahali popote ambapo watu watakataa kuwakaribisheni au kuwasikiliza, ondokeni hapo na kuyakung'uta mavumbi miguuni mwenu kama onyo kwao."
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式
at illae exeuntes fugerunt de monumento invaserat enim eas tremor et pavor et nemini quicquam dixerunt timebant eni
basi, wakatoka pale kaburini mbio, maana walitetemeka kwa hofu na kushangaa. hawakumwambia mtu yeyote kitu, kwa sababu waliogopa mno.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
et ait illis ite at illi exeuntes abierunt in porcos et ecce impetu abiit totus grex per praeceps in mare et mortui sunt in aqui
yesu akawaambia, "haya, nendeni." hapo wakawatoka watu hao, wakawaingia nguruwe. kundi lote la nguruwe likaporomoka kwenye ule mteremko mkali, likatumbukia ziwani; nguruwe wote wakafa maji.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式
et cum venisset trans fretum in regionem gerasenorum occurrerunt ei duo habentes daemonia de monumentis exeuntes saevi nimis ita ut nemo posset transire per viam illa
yesu alifika katika nchi ya wagerasi, ng'ambo ya ziwa, na huko watu wawili waliopagawa na pepo wakakutana naye wakitokea makaburini. watu hawa walikuwa wenye kutisha mno, hata hakuna mtu aliyethubutu kupita katika njia hiyo.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
et concessit eis statim iesus et exeuntes spiritus inmundi introierunt in porcos et magno impetu grex praecipitatus est in mare ad duo milia et suffocati sunt in mar
naye akawaruhusu. basi, hao pepo wachafu wakatoka, wakawaingia wale nguruwe. kundi lote la nguruwe wapatao elfu mbili likaporomoka kwenye ule mteremko mkali mpaka ziwani, likatumbukia majini.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
transeuntes autem primam et secundam custodiam venerunt ad portam ferream quae ducit ad civitatem quae ultro aperta est eis et exeuntes processerunt vicum unum et continuo discessit angelus ab e
walipita kituo cha kwanza cha ulinzi na cha pili, halafu wakafika kwenye mlango wa chuma wa kuingilia mjini. huo mlango ukawafungukia wenyewe, nao wakatoka nje. wakawa wanatembea katika barabara moja na mara yule malaika akamwacha petro peke yake.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量: