来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
et erat praedicans in synagogis galilaea
akawa anahubiri katika masunagogi ya yudea.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
et ipse docebat in synagogis eorum et magnificabatur ab omnibu
naye akawa anawafundisha watu katika masunagogi yao, akasifiwa na wote.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
et continuo in synagogis praedicabat iesum quoniam hic est filius de
mara alianza kuhubiri katika masunagogi kwamba yesu ni mwana wa mungu.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
et erat praedicans in synagogis eorum et omni galilaea et daemonia eicien
basi, akaenda kila mahali galilaya akihubiri katika masunagogi na kufukuza pepo.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
vae vobis pharisaeis quia diligitis primas cathedras in synagogis et salutationes in for
"ole wenu ninyi mafarisayo, kwa sababu mnapenda kuketi mbele mahali pa heshima katika masunagogi, na kusalimiwa kwa heshima hadharani.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式
cavete autem ab hominibus tradent enim vos in conciliis et in synagogis suis flagellabunt vo
jihadharini na watu, maana watawapeleka ninyi mahakamani na kuwapiga viboko katika masunagogi yao.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
absque synagogis facient vos sed venit hora ut omnis qui interficit vos arbitretur obsequium se praestare de
watu watawatenga ninyi na masunagogi yao. tena, wakati unakuja ambapo kila atakayewaua ninyi atadhani anamhudumia mungu.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
et veniens in patriam suam docebat eos in synagogis eorum ita ut mirarentur et dicerent unde huic sapientia haec et virtute
akaenda kijijini kwake. huko akawa anawafundisha watu katika sunagogi hata wakashangaa, wakasema, "huyu amepata wapi hekima hii na maajabu?
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式
et neque in templo invenerunt me cum aliquo disputantem aut concursum facientem turbae neque in synagogis neque in civitat
wayahudi hawakunikuta nikijadiliana na mtu yeyote. hawakunikuta nikichochea watu hekaluni wala katika masunagogi yao, wala mahali pengine popote katika mji huo.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
adtendite a scribis qui volunt ambulare in stolis et amant salutationes in foro et primas cathedras in synagogis et primos discubitus in convivii
"jihadharini na walimu wa sheria ambao hupenda kupitapita wamevalia kanzu. hupenda kusalimiwa na watu kwa heshima masokoni, huketi mahali pa heshima katika masunagogi na kuchukua nafasi za heshima katika karamu.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式
cum ergo facies elemosynam noli tuba canere ante te sicut hypocritae faciunt in synagogis et in vicis ut honorificentur ab hominibus amen dico vobis receperunt mercedem sua
"basi, unapomsaidia maskini, usijitangaze. usifanye kama wanafiki wafanyavyo katika masunagogi na njiani ili watu wawasifu. kweli nawaambieni, hao wamekwisha pata tuzo lao.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式
et cum oratis non eritis sicut hypocritae qui amant in synagogis et in angulis platearum stantes orare ut videantur ab hominibus amen dico vobis receperunt mercedem sua
"mnaposali, msifanye kama wanafiki. wao hupenda kusimama na kusali katika masunagogi na katika pembe za njia ili watu wawaone. kweli nawaambieni, hao wamekwisha pata tuzo lao.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式