您搜索了: matumizi (斯瓦希里语 - 塞尔维亚语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Serbian

信息

Swahili

matumizi

Serbian

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

塞尔维亚语

信息

斯瓦希里语

wanablogu wa gaeli wanatupa dondoo kuhusu matumizi ya lugha ya airishi.

塞尔维亚语

gelski blogeri dele savete o upotrebi irskog jezika.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mabadiliko haya ya ghafla kuhusiana na kanuni zinazoongoza matumizi ya dawa, yameibua mijadala mikali katika mtandao.

塞尔维亚语

ove iznenadne promene odredbi koje regulišu lekove inspirisale su vatrene diskusije na internetu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

maji yatahifadhiwa kwa matumizi hasa wakati wa ukame katika mabwawa hayo yaliyopo kwenye mto wa sanaa, hivyo kusaidia kuzalisha umeme zaidi.

塞尔维亚语

zalihe vode takođe će se čuvati u rezervao za potrebe tokom sušne sezone u nizvodnom delu reke sanaga , na taj način omogućava kameronu da generišu više struje.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa habari za karibuni zaidi kuhusu teknolojia kuhusu matumizi ya elimu ya lugha za asili, angalia kwenye tovuti ya hifadhi ya maudhui ya allyson eamer

塞尔维亚语

za više informacija o korišćenju tehnologija za učenje domorodačkih jezika, pogledajte sadržaj stranice allyson eamera .

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hata hivyo, kama ilivyopendekezwa na chan nim, masuala ya namna hii yanaachwa kwa mtu mwenyewe na dhamiri yake hasa kuhusu matumizi sahihi ya teknolojia hizi zinazoibuka.

塞尔维亚语

ipak, kao što je predložio chan nim, ovo pitanje treba ostaviti ljudskoj savesti da odredi šta je prava korist od tehnologije.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hapo nitaweza kuiambia roho yangu: sasa unayo akiba ya matumizi kwa miaka na miaka. ponda mali, ule, unywe na kufurahi.

塞尔维亚语

i kazaæu duši svojoj: dušo! imaš mnogo imanje na mnogo godina; poèivaj, jedi, pij, veseli se.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nao wanaume hali kadhalika, wanaacha kufuata matumizi ya maumbile ya mume na mke wakawakiana tamaa wao kwa wao. wanaume wanafanyiana mambo ya aibu, na hivyo wanajiletea wenyewe adhabu wanayostahili kwa vitendo vyao viovu.

塞尔维亚语

tako i ljudi ostavivši putno upotrebljavanje ženskog roda, raspališe se željom svojom jedan na drugog, i ljudi s ljudima èinjahu sram, i platu koja trebaše za prevaru njihovu primahu na sebi.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

basi, kama mtu atajitakasa kwa kujitenga mbali na mambo hayo yote maovu, atakuwa chombo cha matumizi ya pekee, kwa sababu amewekwa wakfu, anamfaa bwana wake na yupo tayari kwa kila kazi njema.

塞尔维亚语

ako dakle ko oèisti sebe od ovog, biæe sud za èast, osveæen, i potreban domaæinu, pripravljen za svako dobro delo.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika nyumba kubwa kuna mabakuli na vyombo vya kila namna: vingine ni vya fedha na dhahabu, vingine vya mbao na udongo, vingine ni vya matumizi ya pekee na vingine kwa ajili ya matumizi ya kawaida.

塞尔维亚语

a u velikom domu nisu sudi samo zlatni i srebrni, nego i drveni i zemljani: i jedni za èast, a jedni za sramotu.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kama sehemu ya mkutano wetu wa gv mwaka 2015, tunaikaribisha jumuiya na washirika wetu kuandika na kutuma insha zinazoeleza — kwa lugha nyepesi — madhara halisi ya sera zinazohusiana na matumizi ya intaneti kwa wananchi katika nchi au maeneo fulani.

塞尔维亚语

kao deo samita globalnih glasova 2015 godine, pozivamo članove naše zajednice i partnere da napišu i pošalju eseje koji objašnjavaju — jednostavnim jezikom — prave posledice neke uredbe u vezi sa internetom na građane u određenoj zemlji ili regionu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

"umoja wa ulaya katika mgogoro (eu in crisis)" ni chapisho letu la kwanza katika mradi wa vitabu wa global voices na ambao unahusisha makala bora zaidi kuhusu mazungumzo ya kijamii, ushiriki na uhamasishaji unaopewa nguvu na raia wanaopitia nyakati ngumu za kubana matumizi katika bara la kale zaidi na kwingineko.

塞尔维亚语

ovaj post je deo našeg posebnog pokrivanja krize u evropskoj uniji. "kriza u eu" je prvi rezultat našeg novog projekta global voices knjige. ovaj projekat se sastoji od najboljih materijala iz društvenih rasprava, učestvovanja i pokretanja akcija koje su pokrenute od strane građana koji prolaze kroz teška vremena štednje na starom kontinentu i u ostalim delovima sveta.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,761,985,489 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認