来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
huruma yake kwa watu wanaomcha hudumu kizazi hata kizazi.
וחסדו לדור דורים על יראיו׃
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
nawaambieni kweli, kizazi hiki kitapata adhabu kwa sababu ya mambo haya.
אמן אמר אני לכם בא יבא כל אלה על הדור הזה׃
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
enyi kizazi cha nyoka wenye sumu! mnawezaje kuiepa hukumu ya moto wa jehanamu?
נחשים אתם ילדי הצפעונים איכה תמלטו מדין גיהנם׃
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
jinsi yona alivyokuwa ishara kwa watu wa ninewi, ndivyo pia mwana wa mtu atakavyokuwa ishara kwa kizazi hiki.
כי כאשר היה יונה לאנשי נינוה לאות כן יהיה גם בן האדם לדור הזה׃
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
matokeo yake ni kwamba kizazi hiki kitaadhibiwa kwa sababu ya damu ya manabii wote iliyomwagika tangu mwanzo wa ulimwengu;
למען ידרש מן הדור הזה דם כל הנביאים אשר נשפך למן הוסד הארץ׃
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
yesu akaendelea kusema, "basi, nitawafananisha watu wa kizazi hiki na kitu gani? ni watu wa namna gani?
ויאמר האדון עתה אל מי אדמה את אנשי הדור הזה ואל מי הם דמים׃
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式
alifedheheshwa na kunyimwa haki. hakuna atakayeweza kuongea juu ya kizazi chake, kwa maana maisha yake yameondolewa duniani."
בעצר משפטו לקח ואת דורו מי ישוחח כי נגזרו מארץ חייו׃
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式
enyi kizazi cha nyoka! mnawezaje kusema mambo mema hali ninyi ni waovu? maana mtu husema kutokana na yale yaliyojaa moyoni.
ילדי הצפעונים איכה תוכלו למלל טוב ואתם רעים כי משפעת הלב ימלל הפה׃
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
"basi, nitakifananisha kizazi hiki na kitu gani? ni kama vijana waliokuwa wamekaa uwanjani, wakawa wakiambiana kikundi kimoja kwa kingine:
ואל מי אדמה את הדור הזה דומה הוא לילדים הישבים בשוקים וקראים לחבריהם לאמר׃
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式
watu wa ninewi watatokea siku ya hukumu, nao watakihukumu kizazi hiki kwamba kina hatia. maana waninewi walitubu kwa sababu ya mahubiri ya yona, na kumbe hapa kuna kikuu kuliko yona!
אנשי נינוה יקומו במשפט עם הדור הזה וירשיעוהו כי הם שבו בקריאת יונה והנה פה גדול מיונה׃
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
malkia wa kusini atatokea wakati kizazi hiki kitakapohukumiwa, naye atakihukumu kwamba kina hatia. maana yeye alisafiri kutoka mbali akaja kusikiliza maneno ya hekima ya solomoni, na kumbe hapa kuna kikuu kuliko solomoni.
מלכת תימן תקום במשפט עם הדור הזה ותרשיענו כי באה מקצות הארץ לשמע את חכמה שלמה והנה פה גדול משלמה׃
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
watu wa ninewi watatokea wakati kizazi hiki kitakapohukumiwa, na watashuhudia kwamba kizazi hiki kina hatia. hao watu wa ninewi walitubu kwa sababu ya mahubiri ya yona; na hapa pana mkuu zaidi kuliko yona!
אנשי נינוה יקומו במשפט עם הדור הזה והרשיעהו כי הם שבו בקריאת יונה והנה יש פה גדול מיונה׃
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
malkia wa kusini atatokea wakati kizazi hiki kitakapohukumiwa, naye atashuhudia kwamba kina hatia. yeye alisafiri kutoka mbali, akaja kusikiliza maneno ya hekima ya solomoni; kumbe hapa pana mkuu zaidi kuliko solomoni.
מלכת תימן תקום במשפט עם אנשי הדור הזה והרשיעה אותם כי באה מקצות הארץ לשמע את חכמת שלמה והנה יש פה גדול משלמה׃
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
yesu akasema, "enyi kizazi kisicho na imani, kilichopotoka! nitakaa nanyi na kuwavumilia mpaka lini?" kisha akamwambia huyo mtu, "mlete mtoto wako hapa."
ויען ישוע ויאמר הוי דור חסר אמונה ופתלתל עד מתי אהיה עמכם ואסבל אתכם הבא הנה את בנך׃
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式