您搜索了: taifa (斯瓦希里语 - 德语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

德语

信息

斯瓦希里语

taifa

德语

nation

最后更新: 2014-02-20
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

zamani mungu aliruhusu kila taifa lifanye lilivyopenda.

德语

der in den vergangenen zeiten hat lassen alle heiden wandeln ihre eigenen wege;

最后更新: 2023-12-26
使用频率: 3
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

ninawezaje kuliletea faida taifa langu na kulisaidia?

德语

wie kann ich meinem land nützlich sein und es unterstützen?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

anny analisifia taifa hili la afrika katika makala yake:

德语

anny lobt das afrikanische land in seinem stück:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

lakini taifa la kiharamia linataka kufanya hivyo kirahisi tu.

德语

aber ein tyrannischer staat will genau das.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

maana analipenda taifa letu, na ndiye aliyetujengea lile sunagogi."

德语

denn er hat unser volk lieb, und die schule hat er uns erbaut.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

pato la taifa linabaki pale pale na hali ya kiuchumi ya familia haibadiliki.

德语

wenn das gesamteinkommen einer familie dasselbe bleibt, verändert sich die haushaltswirtschaft auch nicht.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

basi taifa moja la wana wa israili liliamini, na taifa jingine lilikufuru.

德语

dann verinnerlichte eine gruppe von den kindern israils den iman, und es betrieb kufr eine (andere) gruppe.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

baraza la taifa la elimu ya sekondari lilitoa tamko kulaani uhamisho holela:

德语

der nationalverband für lehrer weiterführender schulen gab ein statement heraus, in dem die willkürliche versetzung verurteilt wird:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

akalidhoofisha taifa moja miongoni mwao, akiwachinja watoto wao wanaume na akiwaacha watoto wao wanawake.

德语

eine gruppe davon pflegte er zu unterdrücken, indem er ihre söhne erschlug und ihre frauen leben ließ.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

na kila taifa lilikuwa na hamu juu ya mtume wao wamkamate. na walibishana kwa upotovu ili kuipindua haki.

德语

und jedes volk hat sich vorgenommen, seinen gesandten zu ergreifen, und sie stritten mit falschheit, um die wahrheit damit zu widerlegen.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

uamuzi huo ulihusu uchezaji duni ambao ulionyeshwa na timu ya taifa ya nigeria katika mashindano ya kombe la dunia.

德语

die umstrittene entscheidung war eine reaktion auf die traurige leistung der nigerianischen nationalmannschaft bei der weltmeisterschaft.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

mnavifanya viapo vyenu kuwa ni njia ya kudanganyana baina yenu kwa kuwa ati taifa moja lina nguvu zaidi kuliko jengine?

德语

ihr macht eure eide zu einem mittel, euch gegenseitig zu betrügen, (aus furcht,) ein volk könnte sonst mächtiger werden als ein anderes.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

kama mchango wangu kwa taifa langu katika kufanikisha hukumu ya kifo kwa ufanisi, ninatumaini kuwa kifaa hiki kitawavutia maafisa.

德语

ein beitrag von mir, um die todesurteile kompetent umsetzen zu können. ich hoffe, mein gerät weckt das interesse der verantwortlichen.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

fayed anashitakiwa kwa "kuhatarisha amani miongoni mwa raia na usalama wa taifa kwa kutangaza habari za kichochezi."

德语

fayed wird angeklagt, "die öffentliche ordnung und die nationale sicherheit bedroht zu haben, indem er aufhetzende nachrichten sendete".

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

na waliapa kwa mwenyezi mungu ukomo wa kuapa kwao, kwamba akiwajia mwonyaji bila ya shaka watakuwa waongofu zaidi kuliko taifa jingine lolote.

德语

und sie haben bei allah ihren kräftigsten eid geschworen, sie würden, wenn ein warner zu ihnen käme, wahrlich eher rechtgeleitet sein als irgendeine der ge meinschaften.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

hata sijui nini cha kusema lakini kile ninachoweza kusema sasa ni kwamba ninajisikia kukerwa na kwa kweli sijui cha kufanya na kile ambacho sote kama taifa tunaweza kufanya ili angalau sekta ya madini itufaidishe na sisi siku moja

德语

weine, unser geliebtes land. warum sollte wir arm bleiben, wenn es einen Überfluss an begehrten ressourcen gibt, die auf kosten der gesundheit der einheimischen abgebaut werden.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

akifanya kazi kama mwandishi wa habari mwandamizi, alijaribu kuonesha msimamo wake kwenye uandishi habari ulio na ubora ambao vyombo vya habari vinavyomilikiwa na taifa la ethiopia havikuwahi kuuonesha.

德语

als reporterin versuchte sie, anlass zu optimismus zu geben, ohne den eine hochqualitative journalistische arbeit nicht möglich ist. in den äthiopischen staatsmedien ist diese qualität nur schwach ausgeprägt.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

hakika firauni alitakabari katika nchi, na akawagawa wananchi makundi mbali mbali. akalidhoofisha taifa moja miongoni mwao, akiwachinja watoto wao wanaume na akiwaacha watoto wao wanawake.

德语

gewiß, fir'aun zeigte sich überheblich im land und machte seine bewohner zu lagern, von denen er einen teil unterdrückte, indem er ihre söhne abschlachtete und (nur) ihre frauen am leben ließ.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

kusini mashariki mwa asia serikali hazihitaji kutokee shutuma za ngono ndipo ianze kuchunga mtandao kwani huweza kutumia sababu nyingine yeyote, kama usalama wa taifa, kuchuja na kufuatilia vilivyopo kwenye mtandao.

德语

die südostasiatischen regierungen brauchen aber nicht immer sexskandale um das netz zu zensieren, denn sie können sich auch immer auf andere gründe berufen, etwa die nationale sicherheit, um das netz zu filtern und zu überwachen.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

获取更好的翻译,从
8,021,844,433 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認