您搜索了: vijiji (斯瓦希里语 - 德语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

German

信息

Swahili

vijiji

German

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

德语

信息

斯瓦希里语

nao wakaazi wa vijiji walichukua fursa kuutumia udongo huo.

德语

diese zeiten sind nun vorbei.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jinsi mabadiliko ya hali ya hewa yanavyowaathiri wakaazi wa vijiji nchini benin

德语

benin: klimawandel und die verwundbarkeit der ländlichen bevölkerung

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

haiyan ilisababisha kuongezeka kwa dhoruba mwezi novemba mwaka jana hali iliyoharibu maelfu ya vijiji.

德语

haiyan, der im november 2013 wütete, verursachte eine sturmflut bei der tausende dörfer zerstört wurden.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

alishangaa sana kwa sababu ya kutoamini kwao. kisha yesu alivitembelea vijiji vya pale karibu akiwafundisha watu.

德语

und er verwunderte sich ihres unglaubens. und er ging umher in die flecken im kreis und lehrte sie.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hawatapigana nanyi kwa mkusanyiko isipo kuwa katika vijiji vilivyo zatitiwa kwa ngome, au nyuma ya kuta.

德语

sie kämpfen gegen euch nicht gemeinsam außer in befestigten ortschaften oder von hinter mauern.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nanyi mtaanza kumwambia: sisi ndio wale tuliokula na kunywa pamoja nawe; na wewe ulifundisha katika vijiji vyetu.

德语

so werdet ihr dann anfangen zu sagen: wir haben vor dir gegessen und getrunken, und auf den gassen hast du uns gelehrt.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hawatapigana nanyi kwa mkusanyiko isipo kuwa katika vijiji vilivyo zatitiwa kwa ngome, au nyuma ya kuta. wao kwa wao vita vyao ni vikali.

德语

sie würden euch nicht bekämpfen - nicht einmal alle zusammen -, außer in befestigten städten oder hinter mauern, (obgleich) ihre heldentaten untereinander groß sind.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tangu wakati huo, vijiji hivi viwili vimekuwa na mgogoro juu ya haki za ardhi lakini mgogoro haujawahi kufikia kiwango cha taabu ya vurugu hadi hivi karibuni.

德语

seitdem gab es zwischen den beiden dörfern auseinandersetzungen um die landrechte, doch der konflikt hatte noch nie solch erschreckend gewaltsame ausmaße angenommen wie in dieser woche.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya petro na yohane kutoa ushuhuda wao na kuutangaza ujumbe wa bwana, walirudi yerusalemu. walipokuwa wanarudi walihubiri habari njema katika vijiji vingi vya samaria.

德语

sie aber, da sie bezeugt und geredet hatten das wort des herrn, wandten sich wieder um gen jerusalem und predigten das evangelium vielen samaritischen flecken.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mapema machi 3, boko haram waliwaua raia 19 katika shambulizi lililotokea katika vijiji viwili vya, kiu keleha na toubu buka, vilivyopo pembezoni mwa ukanda wa mto chad uliopita nchini nigeria.

德语

am 3. märz hat die terrororganisation boko haram 19 zivilisten in einer attacke auf zwei dörfer, kiu keleha and toubu buka, auf der nigerianischen seite des chadsees getötet.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mojawapo ya nchi zilizoandikwa katika taarifa hiyo ni ethiopia ambapo wanavijiji katika jimbo la gambella wanalazimishwa kuhamia kwenye vijiji vilivyoandaliwa na serikali ili kuwapisha "wawekezaji” kutwaa ardhi yao.

德语

eines der in dem bericht erwähnten länder ist Äthiopien, wo dorfbewohner in der region gambella gezwungen werden, in vom staat ausgewählte dörfer umzuziehen, um den landräubern platz zu machen.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

inataarifiwa kuwa watu 500,000 wameshindwa kutoka katika vijiji wanavyoishi huku wakikosa huduma ya umeme, nishati ya gesi pamoja na maji hali iliyotokana na kutanda kwa theluji mwisho wa wiki hii kaskazini mwa nchi ya iran katika majimbo ya, gilan na mazandaran.

德语

nach einem starken schneesturm letztes wochenende in den nördlichen provinzen des iran gilan und māzandarān sind berichten zufolge 500.000 menschen ohne strom, gas und wasser in ihren dörfern abgeschnitten von der außenwelt.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mpango wa serikali wa “kuunda vijiji vipya” unawaondoa kwa nguvu wenyeji wasiopungua 200,000 kutoka kwenye ardhi yao ya asili katika maeneo ya gambella na kuwahamishia kwenye vijiji vilivyojengwa na serikali.

德语

durch das umsiedelungsprogramm der regierung werden mindestens 200.000 indigene zwangsweise aus ihren angestammten ländereien in der region gambella vertrieben und in neuen, vom staat gebauten dörfern angesiedelt.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ingawa serikali imewaahidi kupatikana kwa ajira, elimu, na huduma za afya katika vijiji hivi. watafiti wa shirika la kutetea haki za binadamu (human rights watch) hawajapata ushahidi au wamepata ushahidi mdogo tu wa kuwapo kwa huduma hizi.

德语

die regierung hat ihnen in diesen dörfern bessere beschäftigungsperspektiven, bildung und medizinische versorgung versprochen; beobachter von human rights watch haben jedoch kaum anzeichen dieser dienstleistungen vorgefunden.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,737,801,258 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認