您搜索了: mungu yupo, lakini kimya si wewe (斯瓦希里语 - 意大利语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Italian

信息

Swahili

mungu yupo, lakini kimya si wewe

Italian

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

意大利语

信息

斯瓦希里语

mungu yupo ewe mmauritania

意大利语

esiste un dio, oh mauritani

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

basi kokote mnako elekea, huko mwenyezi mungu yupo.

意大利语

ovunque vi volgiate, ivi è il volto di allah.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hao wanao fanya kuwa pamoja na mwenyezi mungu yupo mungu mwingine.

意大利语

[contro] coloro che affiancano ad allah un'altra divinità.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nikiongea kwa ukweli kabisa, hata hivyo, siamini kwamba mungu yupo, na ni vigumu sana kwangu kusema kwamba nina imani ya kidini.

意大利语

in verità, comunque, non credo che dio esista, perciò è difficile per me dire di avere fede.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

paulo akamjibu, "namwomba mungu kwamba, kwa muda mfupi au mrefu, si wewe tu bali wote wanaonisikia leo wapate kuwa kama nilivyo mimi, lakini bila hii minyororo."

意大利语

e paolo: «per poco o per molto, io vorrei supplicare dio che non soltanto tu, ma quanti oggi mi ascoltano diventassero così come sono io, eccetto queste catene!»

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

lakini nimejaribu kujiaminisha wakati mwingine kwamba huenda mungu yupo na nimejichukulia kama mtu anayependwa na uwepo huo, hali inayonifanya nimshukuru kwa upendo wake mwingi kwangu.

意大利语

tuttavia ho provato a ipotizzare l'esistenza di dio immaginando di essere amato da lui. ciò mi ha portato a ringraziarlo per il suo grande amore.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

siri za moyo wake zitafichuliwa, naye atapiga magoti na kumwabudu mungu akisema: "kweli mungu yupo pamoja nanyi."

意大利语

sarebbero manifestati i segreti del suo cuore, e così prostrandosi a terra adorerebbe dio, proclamando che veramente dio è fra voi

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

hata hivyo, ikiwa matawi mengine yalikatwa lakini wewe, ujapokuwa mzeituni wa mwitu, ulipandikizwa katikati yake na kuwa mshiriki wa mzizi wa unono+ wa mzeituni, usiwe ukifurahi juu ya hayo matawi. ingawa hivyo, ikiwa unafurahi juu yake, si wewe unayeuchukua mzizi, bali ni mzizi unaokuchukua wewe. basi, wewe utasema: “matawi yalikatwa ili mimi nipandikizwe.” vema! kwa sababu ya ukosefu wao wa imani yalikatwa, lakini wewe umesimama kwa imani. uache kuwa na mawazo ya kujivuna, bali uogope. kwa maana ikiwa mungu hakuyaachilia matawi ya asili, vivyo hivyo hatakuacha wewe. kwa hiyo, ona fadhili na ukali wa mungu. kuna ukali kuwaelekea wale walioanguka, lakini kuna fadhili za mungu kukuelekea wewe, ila tu ukae katika fadhili zake; kama sivyo, wewe pia utakatwa. wao pia, ikiwa hawatadumu katika ukosefu wao wa imani, watapandikizwa; kwa maana mungu anaweza kuwapandikiza tena. kwa maana ikiwa wewe ulikatwa kutoka kwenye mzeituni ulio wa asili ya mwituni na kupandikizwa kinyume cha asili katika mzeituni wa bustanini, si afadhali zaidi kwamba hawa walio wa asili wapandikizwe katika mzeituni wao wenyewe!

意大利语

comunque, se alcuni dei rami furono recisi, ma tu, benché fossi un olivo selvatico, fosti innestato fra loro e divenisti partecipe della radice della grassezza dell’olivo, non esultare sopra i rami. se, però, esulti sopra di essi, non sei tu a portare la radice, ma la radice [porta] te. tu dirai, dunque: “dei rami furono recisi perché fossi innestato io”. bene! per [la loro] mancanza di fede furono recisi, ma per la fede tu stai in piedi. cessa di avere alte idee, ma abbi timore. poiché se dio non risparmiò i rami naturali, nemmeno risparmierà te. vedi, perciò, la benignità e la severità di dio. severità verso quelli che caddero, ma benignità di dio verso di te, purché tu rimanga nella sua benignità; altrimenti, sarai potato anche tu. essi pure, se non rimangono nella loro mancanza di fede, saranno innestati; poiché dio li può innestare di nuovo. poiché se tu fosti tagliato dall’olivo che per natura è selvatico e fosti innestato contro natura nell’olivo coltivato, tanto più questi che sono naturali saranno innestati nel loro proprio olivo!

最后更新: 2013-03-07
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,743,357,255 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認