您搜索了: uchambuzi (斯瓦希里语 - 意大利语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Italian

信息

Swahili

uchambuzi

Italian

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

意大利语

信息

斯瓦希里语

wakati kura ya kumng'oa waziri mkuu haukuja bila kutarajiwa, baadhi walifanya uchambuzi wa hali hiyo.

意大利语

mentre l'impeachment non è sembrato una sorpresa, alcuni hanno dato la loro analisi della situazione.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

blogu ya ki-mexico hazme el chingado favor ilitundika uchambuzi mfupi kuwahamasisha wasomaji wake kuisambaza video hiyo:

意大利语

sul blog messicano hazme el chingado favor è stato pubblicato un breve commento per incoraggiare i lettori a diffondere il video:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

(unaagizwa) kutoa uchambuzi mfupi wa matukio hayo ya umma, malengo yake, na matokeo ya kufanya hivyo.

意大利语

fornire una breve analisi di suddetti eventi, obiettivi e risultati del loro svolgimento.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

uchambuzi wa machapisho hayo unaonyesha kukosa ujuzi na kutotimiza sharti la kupata maoni ya upande wa pili, na mara nyingine kupuuzia kabisa kwa taaluma ya habari na waandishi .

意大利语

l'analisi accurata degli articoli e dei filmati al riguardo lascia trasparire una mancanza di competenza e obiettività e talvolta anche la mal celata parzialità politica dei loro autori. .

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tumepoteza takribani asilimia 20 ya kura zetu. uchambuzi wa awali unaonyesha kwamba tumepoteza katika sekta za watu wenye kipato kidogo na wala hatukujiongozea kura kutoka katika sekta za tabaka la kati.

意大利语

abbiamo perso quasi il 20% della nostra base elettorale, e le prime analisi riportano che gli elettori che abbiamo perso fanno parte degli strati poveri della popolazione e che non abbiamo guadagnato alcun voto tra gli elettori della classe media.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

uchambuzi wake unaonyesha akina nani walikuwa wahamasishaji wakuu, anuani za url zilizounganishwa zaidi kwenye alama zipi (hashtags) za twita zilitumika zaidi.

意大利语

la sua analisi chiarisce quali siano stati i fondamentali fattori di influenza, quali indirizzi web e gli hashtag hashtag maggiormente linkati e usati.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hatutafuti sana uchambuzi wa kitaalamu au tafiti za kina na badala yake tunaangalia maelezo yanayoshawishi kuhusu changamoto za haki ya uhuru wa kujieleza na faragha ya mtandaoni, katika namna ambayo kila mtumiaji wa mtandao wa intaneti anaweza kuyaelewa.

意大利语

stiamo cercando modalità avvincenti per spiegare le molte sfide poste sui diritti, come la libertà di espressione e la privacy online, e non analisi tecniche o astrazioni, in modo che ogni utente di internet possa comprenderle.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,743,097,156 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認